Maboresho ya Reli ya TAZARA yaangalie usifanyike udanganyifu kama wa Kenya

Hayo maboresho hayapo,ni kama tu wanavyodanganya wanafanya maboresho Uwanja wa Mkapa
 
Mizigo si abiria?
Kuna mizigo mingi Sana inaenda Zambia ,congo na Malawi hii reli Ina umuhimu wake kuboreshwa Barabara ya TAZAM imezidiwa na maroli ni mengi mno plus yanayosomba makaa ya mawe bado product za chuma hazijaanza mchina sio fala akubali kutia gharama zake kuboreshwa hii reli Ina mizigo ya kutosha
 
Yaani Tanzania na Zambia wameshindwa kutoa hiyo USD 1 billion mpaka mchina aje tena kusaidia.
 

Tuwe wafanisi, tusiwe wafanisi, HATUTAKi kuendeshewa miundombinu na Mchina, au na mja yeyote wa kigeni.

Kujenga huwezi, kubuni huwezi, kuendesha huwezi, utaweza nini, kuchimba na kuendesha miradi ya matundu ya vyoo vya washichana, wewe potato head wa Afrika ????

Kuna sababu kwa nini Julius Nyerere aliamua kui freeze on ice hii miradi kichaa ya kufanyiwa kila kitu na kuliwa kama mazuzu.
 
Wachina wanajua wanachokifanya.
Kwa sasa Zambia ni kama nchi yao.
 
Kama unanieleza mimi moja kwa moja, nitakwambia kwamba ni sawa kabisa unavyo eleza; na huo ndio msimamo wangu katika maswala haya yote, iwe Reli, Bandari na kwingineko kote inapo wezekana.
 
Cha msingi hizi reli hata ikiwa ya umeme uendeshaji ukiwa mbovu inakufa tu mfano hii TAZARA tumeiendesha miaka mingapi bila faida hadi wanaamua kurudi tena wachina kuisimamia na Hawa wataitendea haki sisi tuliyaamini Sana maroli kuliko TREN lazima waje watubadilishe mawazo
 
Hata ikiwa ya diseli wakiongeza speed kutoka 80 hadi 120 bado itakuwa na ufanisi kuliko ilivyo Sasa masaa yatapungua kuifikia Zambia maana ya sgr Ina speed 160 km/hr πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡[TOP STORY] Tanzania, China, and Zambia have signed an important agreement to upgrade the Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) in Beijing. The ceremony, which took place at the Great Hall of the People, was attended by Presidents Samia Suluhu Hassan of Tanzania, Xi Jinping of China, and Hakainde Hichilema of Zambia. The agreement aims to improve the railway's capacity, efficiency, and reliability, thus strengthening regional transportation infrastructure.

#CNBCAfrica #DSTV410 #ClosingBell #CBEA
 
Pole ,Tazara itakuwa refurbished China to bring Tanzania-Zambia railway back to full speed with US$1 billion boost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…