KERO Responded Mabosi Serikalini bwana, mtu anakaa na file wiki 2, hivi huwa mnayafanya nini?

KERO Responded Mabosi Serikalini bwana, mtu anakaa na file wiki 2, hivi huwa mnayafanya nini?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu

Ni urasimu tu usiokuwa na mipaka

kwa mfano kila kitu kipo online lakini mtu kupitisha ni issue

TRA ni Taasisi inayoongoza kwa urasimu huu, bila kitu kidogo kazi yako inalala

Mtf panahitaji maboresho makubwa, rushwa inaombwa bila kupepesa macho.
 
9267.png


NSSF Wanaongoza kwa huu upumbavu. Unafungua dai la fao la kukosa ajira tangu mwanzo wa mwezi hadi sasa hakuna kinachoendelea. Very unprofessional 🚮
 
Hakuna mafile ya mezani siku hizi kuna E file
Hata hiyo e file nayo inapita hizo wiki mbili walizoweka, wataalamu waweke system ambapo file liki pita wiki 2 bendera nyekundu iwepo hapo na senior aione hiyo bendera nyekundu, na pili imzuie offisa yeyote kufanyia KAZI file mengine, ikiwa lilotangulia halija fanyiwa kazi
 
View attachment 3542548

NSSF Wanaongoza kwa huu upumbavu. Unafungua dai la fao la kukosa ajira tangu mwanzo wa mwezi hadi sasa hakuna kinachoendelea. Very unprofessional 🚮
Mkuu hiyo stage ya member verification unapaswa uende ofisi zao hapo hapo unatia dole gumba.

Kwa sasa wamejirekebisha sana mimi ndani ya siku moja tu nlimaliza hadi stage 3, then baada ya wiki mbili tu hela ikawekwa. Just make sure attachment zote zipo mahala pake
 
Hakuna mafile ya mezani siku hizi kuna E file
Hata hiyo E file analogin baada ya wiki 2 au 3 au mwezi. Unapewa sababu za siasa tu , yupo kwenye vikao dodoma. Sasa akiwa dodoma si anaweza kulogin online akapitisha file ? Mwingine ofisi zake hapo hapo dodoma lakini halogin mpaka arudi ofisini kwake baada ya wiki 2 au mwezi
 
E file bado inahitaji watu wa kupitisha, na wasipo pitisha kwa wakati haina tofauti na makaratasi
Kabisa, mtu kulogin tu anasubiri mpaka mizimu ya kwao imruhusu. Wakati anaweza kulogin hata akiwa nyumbani
 
Huko kwenye halmashauri ndo usipime!!

In English:Vendor form zinaatamiwa miezi et muhusika kaenda likizo hadi arudi.
Halafu rushwa anayopambania hapo 10K 20K ukimkamatisha kafukuzwa kazi. Wapuuzi sana wale
 
Back
Top Bottom