King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Hivi bado tu kuna paper works? Attachment si una upload? Simu zina scan pdf HD kabisa....Ma system yana Mirror HD ,yana keep backup on daily basis no data loss ,kuna cloud pia yanasave ,inabidi tuondoke kwenye makaratasi.Yaani mtu unakaa na file mezani kwako wiki mbili au mwezi mzima unalisogeza tu kila ukiletewa chai...., kwani unapata faida gani au unafanya nini muda wote huo kutojali file ambalo ungeweza kulifanyia kazi kwa dakika 5 tu?