Hakuna mafile ya mezani siku hizi kuna E fileYaani mtu unakaa na file mezani kwako wiki mbili au mwezi mzima unalisogeza tu kila ukiletewa chai....
😃😆😆😀😩Hakuna mafile ya mezani siku hizi kuna E file
Hata hiyo e file nayo inapita hizo wiki mbili walizoweka, wataalamu waweke system ambapo file liki pita wiki 2 bendera nyekundu iwepo hapo na senior aione hiyo bendera nyekundu, na pili imzuie offisa yeyote kufanyia KAZI file mengine, ikiwa lilotangulia halija fanyiwa kaziHakuna mafile ya mezani siku hizi kuna E file
Mkuu hiyo stage ya member verification unapaswa uende ofisi zao hapo hapo unatia dole gumba.View attachment 3542548
NSSF Wanaongoza kwa huu upumbavu. Unafungua dai la fao la kukosa ajira tangu mwanzo wa mwezi hadi sasa hakuna kinachoendelea. Very unprofessional 🚮
Ardhi nadhani ndo kiboko ya wote hapo serikaliniNenda Kamishana wa Ardhi uone moto wake.
E file bado inahitaji watu wa kupitisha, na wasipo pitisha kwa wakati haina tofauti na makaratasiHakuna mafile ya mezani siku hizi kuna E file
Huko kote nilishapitia.. 😂View attachment 3542548
NSSF Wanaongoza kwa huu upumbavu. Unafungua dai la fao la kukosa ajira tangu mwanzo wa mwezi hadi sasa hakuna kinachoendelea. Very unprofessional 🚮
Hata hiyo E file analogin baada ya wiki 2 au 3 au mwezi. Unapewa sababu za siasa tu , yupo kwenye vikao dodoma. Sasa akiwa dodoma si anaweza kulogin online akapitisha file ? Mwingine ofisi zake hapo hapo dodoma lakini halogin mpaka arudi ofisini kwake baada ya wiki 2 au mweziHakuna mafile ya mezani siku hizi kuna E file