King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Hivi bado tu kuna paper works? Attachment si una upload? Simu zina scan pdf HD kabisa....Ma system yana Mirror HD ,yana keep backup on daily basis no data loss ,kuna cloud pia yanasave ,inabidi tuondoke kwenye makaratasi.Yaani mtu unakaa na file mezani kwako wiki mbili au mwezi mzima unalisogeza tu kila ukiletewa chai...., kwani unapata faida gani au unafanya nini muda wote huo kutojali file ambalo ungeweza kulifanyia kazi kwa dakika 5 tu?
Wizara ya mawasiliano ilitakiwa watu wawe wanalala lupango, maana habari za hamna network zinahuzunisha sanaTena Ardhi pale wanakunyali kwanza , unafika kaingia tiktok ana peruzi watoto wa kike wanabinua matako. Anakujibu hakuna network leo
Uharaka wa huduma za online inategemea kama kuna pesa. Kwa mfano kwa watumishi wa umma ukiomba mkopo kwenye mfumo wa ess unaweza pata hela ndani ya saa moja. Kwenye mfumo huohuo ebu omba uhamisho 😀😀😀 supervisor hadi umfuate au umpigie simu, mkurugenzi na RAS kupitisha hadi wajisikie, wanaweza kaa na maombi hata mwaka mzima. Hii nchi bado sanaWanapenda sana urasimu bila sababu. Uzuri siku hizi huduma nyingi ni online walau inapunguza process za urasimu. Kuna ofisi kuanzia mlinzi mpaka secretary tu wanakukwamisha hata faili halijafika kwa bosi
Mkuu hiyo stage ya member verification unapaswa uende ofisi zao hapo hapo unatia dole gumba.
Kwa sasa wamejirekebisha sana mimi ndani ya siku moja tu nlimaliza hadi stage 3, then baada ya wiki mbili tu hela ikawekwa. Just make sure attachment zote zipo mahala pake
Hakuna watu wapuuzi kama watumishi wa umma!Yaani mtu unakaa na file mezani kwako wiki mbili au mwezi mzima unalisogeza tu kila ukiletewa chai...., kwani unapata faida gani au unafanya nini muda wote huo kutojali file ambalo ungeweza kulifanyia kazi kwa dakika 5 tu?
Aosp; shauri.Hakuna watu wapuuzi kama watumishi wa umma!
Watumishi wa ardhi wote motoniNenda Kamishana wa Ardhi uone moto wake.
Uzembe tuYaani mtu unakaa na file mezani kwako wiki mbili au mwezi mzima unalisogeza tu kila ukiletewa chai...., kwani unapata faida gani au unafanya nini muda wote huo kutojali file ambalo ungeweza kulifanyia kazi kwa dakika 5 tu?
Hao jamaa nomaNenda Kamishana wa Ardhi uone moto wake.
Wanazingua sana lo