Mabosi waeleza kwanini wanawafukuza kazi Gen Z miezi michache baada ya kuajiriwa. Gen Z chukua notes

Mabosi waeleza kwanini wanawafukuza kazi Gen Z miezi michache baada ya kuajiriwa. Gen Z chukua notes

Shida ni kwamba Maboss wengi kwenye organizations na makampuni bado ni millennials wanashindwa kucope na kukubali kuwa dunia imebadilika kwa sababu wengi wao ni very conservative. Gen Z ni kizazi kimelelewa na kukuzwa kwenye mazingira tofauti they don't have to go through whatever their bosses went through.
Kwa mfano hapo kuchelewa kazini, mtu unaweza kuwa kuwahi kazini na usiwe productive, kwanza dunia imebadilika there is no point kuwahi kazini saa kumi na moja asubuhi wakati kazi zinaweza kufanyika remotely au online na zikaenda.
Kingine Gen Z ni kizazi ambacho wako very open minded na hawajalelewa kwenye mazingira ya uoga shida ya maboss wanataka kuogopwa na kunyenyekewa ndo maana wanaona Gen Z hawana adabu mambo ya "Yes Sir or Madam" ndo wanayataka. The world has changed and it is still changing

Sasa wawasubiri hao Gen Alpha ndo watajua hawajui 😀
Mkuu hii ndo post yako ya kwanza aseee!!
 
Kuna mmoja nilimkuta washroom anakatika huku anakenua kenua kwny kioo....
Hawa madogo usasa unawapeleka puta..
Ngoja wazalishwe wtt w2 watatu watatulia...
Hahaha nimecheka sana mtani huyo nina uhakika ni flat screen nyuma pasi 😁 maana ndo zao hizo
 
Back
Top Bottom