Mabosi wengi wana bible/quran kwenye droo kushoto kulia wana power bank

Mabosi wengi wana bible/quran kwenye droo kushoto kulia wana power bank

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
unaweza hisi n utani

yaan hizi ofisi zina mengi sana

kuna jamaa nilikwenda ofisin kwake nilipofika akaniomba kantolee kitu kwenye drw br

kufika pale doh kushoto nkakutana na bamboo nkatoa alichontuma nkasema niangalie kulia

sikutaka hata kuendelea zaidi lol

wacha turidhike na madoggo tuliyonayooo loh
 
Sisi wa lindi bado hatujaelewa tunaomba ufafanuzi zaidi
 
Utajiri una siri nyingi kuna boss fulani alikuwa na kilinge kabisa cha kulinda ubosi wake
Wako wengi sana mkuu hata humu wanatusoma wanatuzoooom tu sada comment ovyo kama huna kinga wanapitanawewe
 
Back
Top Bottom