Kweli mkuuHii dunia n mchanganyo hasa ukishazipata zinawindwa udondoke kama tembo wa asenali.
Majibu ya powerbank mengi n uongoKweli mkuu
M sikusita kumuuliza kaka akanipa sori nyingi Sanaa aisle dah.....
Sema nilisahau kuumuliza powerbank ina chaji yake ama unaweza tumia na solar bank
Sisi wa lindi bado hatujaelewa tunaomba ufafanuzi zaidiunaweza hisi n utani
yaan hizi ofisi zina mengi sana
kuna jamaa nilikwenda ofisin kwake nilipofika akaniomba kantolee kitu kwenye drw br
kufika pale doh kushoto nkakutana na bamboo nkatoa alichontuma nkasema niangalie kulia
sikutaka hata kuendelea zaidi lol
wacha turidhike na madoggo tuliyonayooo loh
Wanahakikisha siri zao hazitoki nje ππWako wengi sana mkuu hata humu wanatusoma wanatuzoooom tu sada comment ovyo kama huna kinga wanapitanawewe