Maboss wengi hunywa pombe kali

Maboss wengi hunywa pombe kali

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Katika ofisi za maboss wakubwa huwez kukosa vinywaji vikali vikali ukifika waiter anakuja utakachoagiza kinaletwa yaani Kama vile upo hotelini..hii Ni kwa sababu ma deal yanayozungumziwa ofisini hapo yanayusisha ma billion ya hela kwa hiyo lazima ulegeze ubongo kidogo haiwezekani unaongea biashara ya millions 400 halafu uwe umekaza akili.na wale maboss wakawaida mamilionea wenyewe kwenye magari yako hukosi Spirit yoyote asubuhi mapema Tu wanakatia ndipo wanaingia ofisini.
 
Hata Kamanda mkuu wa Ufipa aliwahi kuumia kwa kuwa alitumia 'Faru John'...!
 
Back
Top Bottom