ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Katika ofisi za maboss wakubwa huwez kukosa vinywaji vikali vikali ukifika waiter anakuja utakachoagiza kinaletwa yaani Kama vile upo hotelini..hii Ni kwa sababu ma deal yanayozungumziwa ofisini hapo yanayusisha ma billion ya hela kwa hiyo lazima ulegeze ubongo kidogo haiwezekani unaongea biashara ya millions 400 halafu uwe umekaza akili.na wale maboss wakawaida mamilionea wenyewe kwenye magari yako hukosi Spirit yoyote asubuhi mapema Tu wanakatia ndipo wanaingia ofisini.