Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Yes, kuna madarasa bado ni mabovu, yes kuna watoto wanakaa chini na matatizo mengine kama hayo.
Lakini tusilitazame kwa mhemko na kushindwa kumpa Rais Samia Suluhu maua yake;
- Katika kipindi kisichozidi miezi 20, Rais Samia kajenga madarasa 23,000. Ina maana ndio ujiulize kama asingejenga ingekuwaje?
- Kafanya makubwa kwa nafasi yake kwa muda mfupi, tumpe muda zaidi afanye makubwa zaidi.
- Mahitaji ya madarasa yanaongezeka kila siku, tuwe wakweli kabisa jamani, hili tatizo haliwezi kuisha kwa muda mfupi.
Rais Samia Suluhu anaenda vizuri, apewe support.