tajiri wa fikra
Member
- Sep 6, 2021
- 49
- 26
Kijana chunga sana. Dunia imeharibika hii. Hakuna Msaada wa bureVijana wanaojitafuta katika mazingira ya kiafrika wamekua wakikumbana na changamoto nyingi zinazopelekea kubaki katika dimbwi la umaskini. Hata hivyo,kuna watu wamefanikiwa kujikwamua kiuchumi katika mazingira hayohayo,tunahitaji kupata maelekezo kidogo kutoka kwa wakubwa zetu waliofanikiwa kujipata,waliwezaje,walizingatia nini wakati wa hustle zao angalau na sisi tufikie walau robo ya walichochacho.
NAWASILISHA!!!
Punguzeni ku fake maisha tu.Vijana wanaojitafuta katika mazingira ya kiafrika wamekua wakikumbana na changamoto nyingi zinazopelekea kubaki katika dimbwi la umaskini. Hata hivyo,kuna watu wamefanikiwa kujikwamua kiuchumi katika mazingira hayohayo,tunahitaji kupata maelekezo kidogo kutoka kwa wakubwa zetu waliofanikiwa kujipata,waliwezaje,walizingatia nini wakati wa hustle zao angalau na sisi tufikie walau robo ya walichochacho.
NAWASILISHA!!!