kwani mnashindwa nini kusema kuwa hii nyama ya leo sio tamu au mapishi ya leo hakuna kitu au hukuweka viungo vya kutosha mpaka tuanze kukashifiana hujui kupika wala hujui mapishi au ladha ya nyama mbaya au imekonda
mimi nauliza swali hili..
Kama nikila kwako na nikashiba na wewe ukafurahi..
Je ukigundua nilikula chips njiani,utanihukumu vipi?
Kwa kuanzia...wengi wenu hampendi kukosolewa au kuambiwa mmekosea. Yani kuwaambia hivyo kunaweza kuanzisha moto mkali kuliko wa petroli...kwani mnashindwa nini kusema kuwa hii nyama ya leo sio tamu au mapishi ya leo hakuna kitu au hukuweka viungo vya kutosha mpaka tuanze kukashifiana hujui kupika wala hujui mapishi au ladha ya nyama mbaya au imekonda
Kwa kuanzia...wengi wenu hampendi kukosolewa au kuambiwa mmekosea. Yani kuwaambia hivyo kunaweza kuanzisha moto mkali kuliko wa petroli...
kuna ki2 nimenote, kuna nyama nyingine bana haiivi! unapika hd unaishiwa hamu ya kula!Alafu mkiumwa matumbo mnalalamika...!
Sasa wewe ni mmoja wa wachache....wengine hata wakiunguza wanataka wasifiwe.Aise Lizzy mimi iko tayari kukosolewa na kuambiwa ukweli wangu hapo nitajua namna ya kuurekebisha maana hapo najua najenga sio nabomoa Kuambiwa kuwa nyama yako sio tamu niko tayari ili niongeze ufundi wangu wa kuipika au kuambiwa nyama yako jana sikushiba hapo natafuta namna ya kuongeza idadi ya kilo ili uridhike
Sasa wewe ni mmoja wa wachache....wengine hata wakiunguza wanataka wasifiwe.
mkuu wanachotaka ni kushiba na ushukuru kuwa mapishi yalikuwa mazuri hawatajali kama ulipita njiani ukala chipsi mayai wala mihogo ya kuchemsha wanachojitaji wao ni kujua kuwa umekubali mapishi yao
mkuu lizzy hayuko hivyo,si unamuona?????
Hahahahah....habari ndo hiyo.
Bana mi nimesema kama mwenzangu anapita magengeni kwanza ndo ntafanya hivyo...otherwise namsubiria tule wote tukiwa na njaa tushibe na kiridhika pamoja.Lizzy ana yake mkuu anataka na yeye apitie huko ale mihogo ya kuchemsha ndio aje kukupikia nyama sasa hapo shuhudia nyama inayopikwa na mtu aliyeshiba
Bana mi nimesema kama mwenzangu anapita magengeni kwanza ndo ntafanya hivyo...otherwise namsubiria tule wote tukiwa na njaa tushibe na kiridhika pamoja.
lizzy ana yake mkuu anataka na yeye apitie huko ale mihogo ya kuchemsha ndio aje kukupikia nyama sasa hapo shuhudia nyama inayopikwa na mtu aliyeshiba