Mabucha tofauti......

Mabucha tofauti......

daah, mkuu hujakosea kabisa, maana ni kweli ufafanuzi wake haufai hapa peupe... Lol utanisamehe!!!

mkuu labda unifahamishe hili
hizi nyama zako za kopo
na kile kisamvu cha kopo cha uswazi
kuna kufanana??????lol
 
Lizzy
tatizo umelenga mabucha tu lakini hali ilivyo na nyama zenyewe sometime zinapenda ziliwe na watu wa masaki au mbezi. Ukienda buchani ukaonekana mtu wa robo unaambiwa hatupimi robo. Kumbe huyu wa robo anayedharauliwa ndio angekuwa mteja wa kudumu

Sasa wakija hao wa masaki na mbezi mbezi wanaonunua kilo tano tano sababu ya uwezo wao wanataka waonje nyama ya kila bucha. Bora upate mteja wa robo kilo mara mbili kwa wiki mwaka mzima kuliko mteja wa kila 5 akapotea kabisa. teh teh teh. Kumbuka na huyo anayenunua kilo tano kwa style ya mabucha mengi waua bucha wengine wako tayari kupunguza bei au kufanya chochote mradi awe mteja wao.

Kwa hiyo tatizo sio tu la wateja wa bucha bali na wenye bucha wenyewe.

Nawasilisha
 
tangaza kuwa mambo yamekuwa bomba kabisa dear wala usiogope
Kabla ya kutangaza inabidi ufafanue muafaka wenyewe ndo upi sasa....nisije nikasaini mkataba bila kuusoma buree.
 
Kabla ya kutangaza inabidi ufafanue muafaka wenyewe ndo upi sasa....nisije nikasaini mkataba bila kuusoma buree.

terms and conditions ziko safi sana mapishi yote unayoptaka utapata na tutakuw atunakula wote at a time na lazima turidhike wote
 
Lizzy tatizo umelenga mabucha tu lakini hali ilivyo na nyama zenyewe sometime zinapenda ziliwe na watu wa masaki au mbezi. Ukienda buchani ukaoneana mtu wa robo unaambiwa hatupimi robo. Kumbe huyu wa robo anayezauliwa ndio angekuwa mteja wa kudumu Sasa wakija hao wa masaki na mbezi mbezi wanaonunua kilo tano tano sababu ya uwezo wao wanataka waonje nyama ya kila bucha. Bora upate mteja wa robo kilo mara mbili kwa wiki mwaka mzima kuliko mteja wa kila 5 akapotea kabisa. teh teh teh. Kumbuka na huyo anayenunua kilo tano kw astyle ya mabucha mengi wengine wako tayari kupunguza bei au kufanya chochote mradi awe mteja wao. Kwa hiyo tatizo sio tu la wateja wa bucha bali na wenye bucha wenyewe. Nawasilisha
Hahhahahaha UMENIFURAHISHA SANA SANA SANA....Zing kwakweli sikufikiria hilo la wateja wadogo wadogo wa kudumu na wale wenye nazo wakupita.Nadhani ni muhimu wauzaji tukazingatia sana hili...ASANTE.
 
lizzy sitaki kuamini kuwa mabucha tofauti eti nyama ni ile ile.... mmh mie nijuavyo si kila nyama ya ngombe inaweza kuwa lna ladha inayofanana!!! jamani kuna ngombe walichungwa kwenye majani manono nao hunona sana na nyama yao huwa nono vilevile na tamu, lakini wengine wamekulia kwenye majani makavu na vumbi nyama zao huwa ngumu, hazina mvuto kabisa... bucha yaweza kuwa safiiii lakini nyama looh misuli misuli mingiiii hata utie viungo haitii ladha! jamani nijuavyo kwa umri wanguhuu nimeshaonja nyama za mnyama mmoja lakini zikawa na ladha tofauti kbs... si kila avaae siruali na ana ndevu ni 'mwanamume' wengine mabwabwa tu...
 
terms and conditions ziko safi sana mapishi yote unayoptaka utapata na tutakuw atunakula wote at a time na lazima turidhike wote
Mmmh kwahiyo magengeni na mahotelini hutokula uiwa unajua kabisa kuna chakula kinakusubiria nyumbani?!
 
lizzy sitaki kuamini kuwa mabucha tofauti eti nyama ni ile ile.... mmh mie nijuavyo si kila nyama ya ngombe inaweza kuwa lna ladha inayofanana!!! jamani kuna ngombe walichungwa kwenye majani manono nao hunona sana na nyama yao huwa nono vilevile na tamu, lakini wengine wamekulia kwenye majani makavu na vumbi nyama zao huwa ngumu, hazina mvuto kabisa... bucha yaweza kuwa safiiii lakini nyama looh misuli misuli mingiiii hata utie viungo haitii ladha! jamani nijuavyo kwa umri wanguhuu nimeshaonja nyama za mnyama mmoja lakini zikawa na ladha tofauti kbs... si kila avaae siruali na ana ndevu ni 'mwanamume' wengine mabwabwa tu...
Muhanga ng‘ombe hata wa ulaya bado ni ng‘ombe na ladha yake itabaki kua ya ng‘ombe tu hata kama itakua ngumu...nono au chovu.Muhimu ni mapishi....hata hiyo nono yaweza kukukosesha hamu ya kula tena na hiyo ngumu isikuchoshe kabisa.
 
mkuu labda unifahamishe hili
hizi nyama zako za kopo
na kile kisamvu cha kopo cha uswazi
kuna kufanana??????lol

Hapana, hazifanani mkuu, ila packaging pekee yaweza!!! Hizi ni zile unazoweza kununua na kutunza nyumbani. Hizi ni zile unazoweza kuagiza online na kuwa delivered express!! Hizi ni zile ziko prepared, ready to eat au kuzifanyia chochote upendacho bila kuulizwa maswali kama kwanini umezikatakata vipande vidogovidogo sana, na mengine kama hayo... Hizi ni manufactured, standardised and TBS approved, huna haja tena ya kupima ujazo wala ladha, ni ulaji wako tu!!!
 
mkuu labda unifahamishe hili
hizi nyama zako za kopo
na kile kisamvu cha kopo cha uswazi
kuna kufanana??????lol

Boss umenikumbusha mbaali sana na kisamvu cha kopo... heheheheeeeeeee tena cha uswazi duh... lazima kiwe na nazi na mazagazaga yote! ukitia mkono hautoki huko mpaka ukatike kidole...!!!!
 
Muhanga ng‘ombe hata wa ulaya bado ni ng‘ombe na ladha yake itabaki kua ya ng‘ombe tu hata kama itakua ngumu...nono au chovu.Muhimu ni mapishi....hata hiyo nono yaweza kukukosesha hamu ya kula tena na hiyo ngumu isikuchoshe kabisa.

ok ok huenda ikawa, mie nilikuwa nazungumzia ufahamu wangu ulivyo, kwangu mie najua mabucha ni tofauti, nyama nazo ni tofauti na mapishi pia ni tofauti.... kuna nyama zingine hata utie viungo gani hazikolei utamu na zingine ukipika chukuchuku tu utajilamba vidole kwa utamu.. huu ni mtazamo wangu
 
Na mtazamo wako nimeukubali...
 
Kufurahia bado ni utashi,ukiwa na njaa hautajali kufurahia,utafurahia ukishashiba!
Haya...sio lazima wote tufuate process zile zilr kwenye maandalizi au ulaji.
 
kule Tanga kunakitu kinaitwa "zafanana"; wajomba zangu Wangoni wanasema "zikongwine" yaani.. hata ukila, ukipika tofauti n.k mwisho vyote viko sawa tu..vinachanganyika mutumbo na kutolewa muchoo.. zafanana! Hivyo.. kitu pekee watu wanapendea chakula ni ladha tu.. lakini at the bottom line vyakula vyote vinafanana.. hili ni ukweli.

Tofauti pekee ni jinsi unavyokula, kumega, kutafuna, kulamba, kufyonza n.k na viungo vilivyotengeneza. So vyakula vinavutia kwa harufu, muonekano wake, ladha, mapishi n.k na hii ndio sababu pekee tunachagua vyakula tofauti tofauti. Lakini tukishakula - hisia ya kushiba ni ile ile, vyakula vyote huwezi kulazaidi bila kuvimbiwi, na hata vyakula viwe vitamu vipi at the end of digestion kuna excretion.. and the process goes on and on...

sorry to gross some people out.
 
Back
Top Bottom