Nataka wote tuachiane appetite zetu...na kama ni appetizer tule pamoja...kila kitu tushee...sio unakula huko unarudi na mamikono machafu alafu unaparamia ugali wangu....mwisho wa siku itabidi tuache kula kwenye sahani moja!Kwani nikipita nikala chipsi kuku mtaani na then nikaja kula nyama yako kuna shioda gani si unataka tushibe wote na tunaanza mwanzo mwisho mpaka nishibe na wewe
Hahhaahah hii offer ni balaa.
Nyama ni sehemu muhimu ya mlo....lazima izingatiwe.Lakini pia point ya msingi kuhusu nyama ni CHAKULA so nyama ipo ili watu WALE kisha WASHIBE..Ndo maana unaposikia njaa mwili unahitaji KULA na sio kula chakula cha aina gani!Aina ni UTASHI na uhitaji ni CHAKULA!
Nataka wote tuachiane appetite zetu...na kama ni appetizer tule pamoja...kila kitu tushee...sio unakula huko unarudi na mamikono machafu alafu unaparamia ugali wangu....mwisho wa siku itabidi tuache kula kwenye sahani moja!
Uvutiwe mara ngapi?!Alafu na wewe kama mvuto hamna unashindwa nini kurudi na kachumbari ukaniambia niikaangie chips kesho!?Au kaeproni kamaana nikavae nikikarangiza?!Jitahidi basi kunivutia wakati natoka ofcn nisipite gengeni kula chipsi kavu na mihogo ya kuchemsha japo naipenda
hapana bana mimi mlokole bana tutakula nyama tuu wala hakuna kingineLoh...nikikubali baba mchungaji ananilaza nje!
Uvutiwe mara ngapi?!Alafu na wewe kama mvuto hamna unashindwa nini kurudi na kachumbari ukaniambia niikaangie chips kesho!?Au kaeproni kamaana nikavae nikikarangiza?!
mimi napendelea hata zile nyama za kwenye makopo!!! Chumvi kwa wingi, standardized kokote pale duniani. Na ukizijulia kuzifungua, mtu weweeee.... Usiku, jioni, asubuhi, adhuhuri, mchana, twende tu!! Hamna anayekuhoji wala kukukodolea macho. Kwenye mikate, kwenye chapati na kwa kuziunga kidogo, poa tu!!
Najua wengine mnazipenda lakini mnaziogopa kwa kutojua kuzifungua... Maana kukatwa vidole na tule tubati, ni noo -- nooouma!!! Lol 😉
Hahahhahaha....asante SteveDii..umenifurahisha kwakweli.Mimi napendelea hata zile nyama za kwenye makopo!!! Chumvi kwa wingi, standardized kokote pale duniani. Na ukizijulia kuzifungua, mtu weweeee.... usiku, jioni, asubuhi, adhuhuri, mchana, twende tu!! Hamna anayekuhoji wala kukukodolea macho. Kwenye mikate, kwenye chapati na kwa kuziunga kidogo, poa tu!! Yanini kwenda kusimama kwenye mibucha na kutoka huko na shombo na miinzi ikiwa inakufata nziiiiiiii nyuma nyuma, eti tu umejibebea nyama fresh!! mweee!!!Najua wengine mnazipenda lakini mnaziogopa kwa kutojua kuzifungua... maana kukatwa vidole na tule tubati, ni noo -- nooouma!!! lol 😉
Lengo ni nyama au lengo ni kushiba?Nyama ni sehemu muhimu ya mlo....lazima izingatiwe.
mkuu nahisi kama nimekuelewa
halafu nahisi kama sijakuelewa hivi lol
Mmmh hapana...naogopa kudaiwa msosi wa watu nikishakula na kushiba.
Kwahiyo tumefikia muafaka ama?!