daah, mkuu hujakosea kabisa, maana ni kweli ufafanuzi wake haufai hapa peupe... Lol utanisamehe!!!
Kwahiyo baba mchungaji nae anakaribishwa?!
Kabla ya kutangaza inabidi ufafanue muafaka wenyewe ndo upi sasa....nisije nikasaini mkataba bila kuusoma buree.
Hahhahahaha UMENIFURAHISHA SANA SANA SANA....Zing kwakweli sikufikiria hilo la wateja wadogo wadogo wa kudumu na wale wenye nazo wakupita.Nadhani ni muhimu wauzaji tukazingatia sana hili...ASANTE.Lizzy tatizo umelenga mabucha tu lakini hali ilivyo na nyama zenyewe sometime zinapenda ziliwe na watu wa masaki au mbezi. Ukienda buchani ukaoneana mtu wa robo unaambiwa hatupimi robo. Kumbe huyu wa robo anayezauliwa ndio angekuwa mteja wa kudumu Sasa wakija hao wa masaki na mbezi mbezi wanaonunua kilo tano tano sababu ya uwezo wao wanataka waonje nyama ya kila bucha. Bora upate mteja wa robo kilo mara mbili kwa wiki mwaka mzima kuliko mteja wa kila 5 akapotea kabisa. teh teh teh. Kumbuka na huyo anayenunua kilo tano kw astyle ya mabucha mengi wengine wako tayari kupunguza bei au kufanya chochote mradi awe mteja wao. Kwa hiyo tatizo sio tu la wateja wa bucha bali na wenye bucha wenyewe. Nawasilisha
Mmmh kwahiyo magengeni na mahotelini hutokula uiwa unajua kabisa kuna chakula kinakusubiria nyumbani?!terms and conditions ziko safi sana mapishi yote unayoptaka utapata na tutakuw atunakula wote at a time na lazima turidhike wote
Kwani nikipita nikala chipsi kuku mtaani na then nikaja kula nyama yako kuna shioda gani si unataka tushibe wote na tunaanza mwanzo mwisho mpaka nishibe na wewe
Muhanga ngombe hata wa ulaya bado ni ngombe na ladha yake itabaki kua ya ngombe tu hata kama itakua ngumu...nono au chovu.Muhimu ni mapishi....hata hiyo nono yaweza kukukosesha hamu ya kula tena na hiyo ngumu isikuchoshe kabisa.lizzy sitaki kuamini kuwa mabucha tofauti eti nyama ni ile ile.... mmh mie nijuavyo si kila nyama ya ngombe inaweza kuwa lna ladha inayofanana!!! jamani kuna ngombe walichungwa kwenye majani manono nao hunona sana na nyama yao huwa nono vilevile na tamu, lakini wengine wamekulia kwenye majani makavu na vumbi nyama zao huwa ngumu, hazina mvuto kabisa... bucha yaweza kuwa safiiii lakini nyama looh misuli misuli mingiiii hata utie viungo haitii ladha! jamani nijuavyo kwa umri wanguhuu nimeshaonja nyama za mnyama mmoja lakini zikawa na ladha tofauti kbs... si kila avaae siruali na ana ndevu ni 'mwanamume' wengine mabwabwa tu...
mkuu labda unifahamishe hili
hizi nyama zako za kopo
na kile kisamvu cha kopo cha uswazi
kuna kufanana??????lol
mkuu labda unifahamishe hili
hizi nyama zako za kopo
na kile kisamvu cha kopo cha uswazi
kuna kufanana??????lol
Muhanga ng‘ombe hata wa ulaya bado ni ng‘ombe na ladha yake itabaki kua ya ng‘ombe tu hata kama itakua ngumu...nono au chovu.Muhimu ni mapishi....hata hiyo nono yaweza kukukosesha hamu ya kula tena na hiyo ngumu isikuchoshe kabisa.
Na mtazamo wako nimeukubali...ok ok huenda ikawa, mie nilikuwa nazungumzia ufahamu wangu ulivyo, kwangu mie najua mabucha ni tofauti, nyama nazo ni tofauti na mapishi pia ni tofauti.... kuna nyama zingine hata utie viungo gani hazikolei utamu na zingine ukipika chukuchuku tu utajilamba vidole kwa utamu.. huu ni mtazamo wangu
Kufurahia bado ni utashi,ukiwa na njaa hautajali kufurahia,utafurahia ukishashiba!Lengo ni kufurahia chakula na sio kula ili mradi!