donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Habari wakuu,
Msanii wa Bongoflava Rayvanny juzi amemtambulisha msanii wake mpya wa Lebo yake ya Next Level Music anayeenda kwa jina la Mac Voice. Nimesikiliza EP ya dogo, kiukweli anajitahidi bwana mdogo na akitulia anaweza kua the next big thing.
Ila jambo Moja, nashindwa kuelewa kwanini wasanii wadogo hua wanapenda kuCOPY & PASTE ma role models wao ( apprentice copying the master ).
Dogo usiposikiliza vizuri unaweza kudhania Ni Rayvanny mwenyewe the way he sounds (naona na kimuonekano kuna ka resemblance flani sijui wana undugu?) Hii issue niliiona pia kwa Ki2ga wa Kings Music, anasound kama kiba mwenyewe kabisa.
Anyways nimeiattach link ya EP ya dogo unaweza sikiliza nyimbo zake nakumrate from scale of 1-10 unampa ngapi.