Mac Voice, First Born wa Rayvanny (NLM)!

Mac Voice, First Born wa Rayvanny (NLM)!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Habari wakuu,

Msanii wa Bongoflava Rayvanny juzi amemtambulisha msanii wake mpya wa Lebo yake ya Next Level Music anayeenda kwa jina la Mac Voice. Nimesikiliza EP ya dogo, kiukweli anajitahidi bwana mdogo na akitulia anaweza kua the next big thing.

Ila jambo Moja, nashindwa kuelewa kwanini wasanii wadogo hua wanapenda kuCOPY & PASTE ma role models wao ( apprentice copying the master ).

Dogo usiposikiliza vizuri unaweza kudhania Ni Rayvanny mwenyewe the way he sounds (naona na kimuonekano kuna ka resemblance flani sijui wana undugu?) Hii issue niliiona pia kwa Ki2ga wa Kings Music, anasound kama kiba mwenyewe kabisa.

Anyways nimeiattach link ya EP ya dogo unaweza sikiliza nyimbo zake nakumrate from scale of 1-10 unampa ngapi.

macvoice_tz-20210924-0001.jpg
 
Nimesikiliza kwa makini EP yote na wanangu hapa tumeipa 10/10.

Anajua kuandika
Sauti ya dunia yote
Melody za sayari ya Mars
Muonekano wa super dupa star

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Uzi si kwa ajili ya kumcompere ntu na ntu,
ila unapotaja NLM huachi kuifikilia KMW.

Kiukweli tukitoa mambo ya uteam, ibrah wa konde gang alianza vzuri kuliko mwanzo wa huyu dogo. Japo mpaka sasa sijui konde gang wananufaika vp na Ibrah labda kutoka katika platform za music
 
Nimesikiliza kwa makini EP yote na wanangu hapa tumeipa 10/10.

Anajua kuandika
Sauti ya dunia yote
Melody za sayari ya Mars
Muonekano wa super dupa star

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sikupingi mkuu
 
Uzi si kwa ajili ya kumcompere ntu na ntu,
ila unapotaja NLM huachi kuifikilia KMW.

Kiukweli tukitoa mambo ya uteam, ibrah wa konde gang alianza vzuri kuliko mwanzo wa huyu dogo. Japo mpaka sasa sijui konde gang wananufaika vp na Ibrah labda kutoka katika platform za music
Sijaelewa kiukweli mkuu, maybe streaming platforms
 
Hzo music platform si ndo unapata pesa kutokama na streaming or utata uko wapi.( tunaelimishana)
Sijakupinga, nimemaanisha kwamba wasanii wanatumia hizo platforms kujipatia rizki kuliko live shows
 
Ndio mkongwe. Naona umekuja kivingine na ID mpya [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Huyu dogo anajua sana...alikosa management tu...alianza kua chini ya chege

Ngoma yake na chege inaitwa mama J...chege hakua na hela tu

 
Ndio nani huyo mtu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom