macerebrity wanaoshi kwa mama/wazazi

kwa mtt wa kiume alifikisha umri wa kuoa s maadili kuendelea kuish na wazaz, ni lazma atafute jinsi ya kujitegemea. 2kumbuke maneno ya Mungu ktk Biblia takatifu kwamba mwanamme/mke atawacha wazaz na kuambata na kuwa mwl mmoja. Hvyo kuendelea kukaa chni ya wazaz ni tatizo! Nan atakuwa kichwa cha nyumba? Mama au wewe mtt! Lazma kutengeneza mji wako mtt wa kiume, chemsha akili! Mbarikiwe!
 
I'm very independent. Been on my own since I was 19. I can't even recall the last time I asked my parents for money.

I love having space in my life. I place high value on the freedom and time to do, behave, and think as I want to without having to worry about being controlled or influenced by someone else.

And the chance of that happening increases when one has to live with his or her parent(s) under the same roof.

So under normal circumstances I would not want to live with my mother, be it in her house or my house.

But then again we all have different circumstances. If someone sees it okay to live with their parent(s) even though he or she is old enough to be on his or her own, who are we to judge?

Some people are victims of circumstances and unless you know the specific details of those circumstances, it is imprudent to surmise on the reason(s) that make them live with their parents.
 
Sisi tunaoangalia basketball mamas boy kibao na ndio wanaomake things happen kuanzia le bron james, kevin durant, derick rose, ray allen etc..

Mwaka 2008 during Nba draft derick rose alifurahi sana alivyokuwa drafted na chicago bulls 1st pick kwamba atakuwa home chicago kwa mama huku anacheza NBA,, na jamaa wanalipwa hela nyingi sana lakini kuwa home ni kama blessings.. Black america loves their families a lot..

Hata mimi nimeondoka home sababu ya girlfriend tu lakini girlfriend akiwa hayupo,, nikipata time tu huyo kwa mamaaa.. Its a very nice atmosphere to be home with your precious mom.. There is no one like your mother,,,
 
Ndugu Tiqo, ujumbe umefika na umewakera watoto wa mama wengi. Ukitaka kujua hilo we hesabu wanatoa povu hapo juu. Wanaogopa kuruka kwa mbawa zao kwa visingizio lukuki. King'asti, endelea kuwapa somo, huenda wakabadili mawazo!

kuna watu hapa naona wamesimama hoja mtu aishi apendavyo kijamii haipo hivyo kabisa mtu anapotoka nje ya mstari anapaswa kurudishwa kwenye mstari, unakumbuka kesi ya Songea jamaa alikuwa anaishi na mama yake mzazi mpaka akamgeuza kuwa mke wake akawa anamlala mama yake mzazi watu hili hawalioni kama laweza tokea, mtu akiishi muda mrefu na wazazi wake zaidi 30+ hata akili huwa zinapotea hana maarifa ya kujitegemea kila kitu anapewa na wazazi watu hawa pindi wazazi wao Mungu anapo wachukua hugeuka kero mitaani mara umepigwa ngeta n.k
 
Hata mimi nimeondoka home sababu ya girlfriend tu lakini girlfriend akiwa hayupo,, nikipata time tu huyo kwa mamaaa.. Its a very nice atmosphere to be home with your precious mom.. There is no one like your mother,,,

Kwanini usikae nae hapo kwa mama ako huyo girl ukaendelea kuinjoi blessings
 

Kama una machungu na mwanao anayeishi kwako, na hutaki hilo, mwambie.

Habari za kupayuka kwa maisha ya ma celebrity usiowajua wasiokujua ni embarassing to say the least.

You are insulting your intelligence.





Hii ni matokeo ya kudumisha mila na desturi za kurithiana.

Mama Condorada Ngonyani mwenye umri wa miaka 70 anaishi kinyumba kama mke na mume na mwanaye wa tatu wa kumzaa mwenyewe akidai kuwa mara baada ya kufariki mume wake, Mzee Mapunda alimchagua mtoto wake amrithi baba yake.

Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wameiomba Serikali kupitia Wizara ya Maendelo ya Jamii, Jinsia na wtoto kuangalia kati sheria inayomruhusu Mtoto na Mama Mzazi kuweza kuishi kindoa




Umati wa watu wapatao 400 ulifurika kwa Mganga wa Jadi Flora Ndembo Namabengo wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma wakiiomba Serikali ichukue Mkondo wa Sheria dhidi ya condorada ngonyani na joseph Mapunda.


Joseph Mapunda mwenye umuri wa miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada ya yeye kukubaliana wenyewe yeye na mama yake mzazi kuishi kindoa kama mume na mke.


Alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli wameishi kindoa kwa miaka 10 na anampenda Mume wake ambaye ni Mtoto wake Joseph Mapunda.
Mama Condorada Ngonyani mwenye umuri wa miaka 70 ambaye ana ishi kinyumba na mtoto wake watatu wa kumzaa mwenyewe kama Mke na Mume hapo anaonekana akisononeka kwa nini jamii iingilie ndoa yake
Kwa mkoa wa Ruvuma hii ni mara ya kwanza mtoto wa kiume Joseph Mapunda pichani hapo juu kutembea na mama yake mzazi.
Wana Ruvuma wanauliza tume jikwaa wapi watanzani hadi kupoteza mila desturi na maadili ya mtanzania pia kukiuka sheria za dini
Joseph Mapunda ana sema upendo ni upendo amempenda mama na anaishi kindoa wamependana nyie watu mnataka nini kwetu ?
Mama Condorada Ngonyani anasema mara baada ya kufariki mume wake Mzee Mapunda alimchagua mtoto wake amrithi baba yake


 
Kwanini usikae nae hapo kwa mama ako huyo girl ukaendelea kuinjoi blessings

Sio heshima kukaa na girl friend kwa mama,,, but alone kisela inapendeza sana.. Kwanza hata mazaz anafurah sana to see your son around.. Kuna watu wengi sana wanatamani wangekuwa na mama zao mpaka leo hii sema hawajapata hiyo chance..

Sasa waliopata nafasi ya kuitumia waache waitumie, maana kuna siku hiyo nafasi ya kuwa karibu na mama hutaikosa, unaweza wewe ukatungalia au mama akatangulia kuondoka duniani..

Kama mzaz wako yupo hai hasa mama na unaishi nae mji mmoja like dar why not enjoy her blessings at home?
 

Wewe una matatizo ya smiling, mom boy! Grow up! Ndiyo maana mnagongewa wake zenith. Ona ulivyo mkubwa ila wa hovyo kabisa huna lugha za kiume eti ushambenga! Inaelekea wewe ni toto la mama sana. Hama kwenye! Unapenda mtelemko kwa kisingizio eti mama anakonda ukihama dah mzee you need to grow up. Mkeo anasapoti ujinga wako ila SHE IS NOT HAPPY LIVING AT FAMILY HOUSE WITH YOUR MOMMA .
 

Waje matoto ya mama wasome hapa. Ukweli nashangaa kuona idadi ya vijana wanaotetea kukaa kwao inaongezeka! Hii hali sio nzuri. Kijana watakiwa kuanzisha mji wako kama babako alivyokuwa na mji wake.

Nina kaka yangu amekaa nyumba ya mzee mpaka dingi namchukua akae kwangu mzee anatanua tu kwenye nyumba ya family hajui kulipa kodi na Bahati mbaya hata kumtunza mzee hakuweza sababu alikuwa mom boy. Mpaka mzee anafariki alikuwa hamuhesabu kama mtoto wa kiume kiumeni.

Jitahidi ujenge family yako umpe furaha na heshima mkeo. Kwa mama mke anakuwa hana daytime, mlete mama kwenye mji wako naye aheshimu mji wako

Mke atakuheshimu na kukupenda kama vile mamaako alivyopata heshima alipojengewa mji wake na babaki.
 

Yaelekea umekereka eeh! Limited thinking ...that's your problem.

Nilichojaribu kuuambia kwa mifano ni kwamba sio kila anayeishi na mama yake ni kwa sababu yeye anamtegemea mama, bali upo uwezekano mama anahitaji msaada.

Mama yangu hajawahi kuwa mwajiriwa, ametulea kwa kufanya biashara ndogo ndogo ambazo uwezo huo hanao tena. Maneno yako ya kukurupuka (kama alivyokurupuka huyo shostito mwenzako) hayakuweka in consideration kuwa mama naye anaweza kuwa mtegemezi.

Mama ana nyumba, so do I. Lakini nyumba yangu si kubwa kumuaccomodate na yeye kama ambavyo nyumba yetu ya urithi ilivyo ni kubwa. Sasa sioni ni akili gani unatumia kumshitaki mtu ambaye humjui mazingira yake.

Na kama ulifikiri nimeoa kiruka njia kama hicho ulichooa wewe unachozunguka huku roho juu juu basi umekosea. Kugongewa wife hakuna formula kwa hiyo kama unaishi kwa kujitutumua ili mkeo asigongwe, there is a day utajikuta unamvua nguo akagongwe kwa mikono yako.

Na kudhihirisha jinsi ulivyo mmbea, unaconclude kuwa mke wangu hana furaha kukaa na mama yangu kwa kuwa unadhani mama yangu ni kama mama yako ambaye ameshindikana mtaani. Mama yangu ni mzee (76) na si mwenye kushindania vitu kama mama yako kiasi amkere mke wangu. By the way, mke wangu ndio hasa namtegemea kuniambia shida za mama kwani wanapatana zaidi ya mama anavyopatana na dada yangu (binti yake). Usilinganishe maisha yako na tabia za mama yako na maisha ya TID na mama yake TID.

Endelea kubishana na kutoka mapovu lkn jua kuwa ni tabia ya ajabu sana kwa mwanaume kuacha shughuli zako kuanza kuangalia fulani anaishije. Humjui na wala hujui malengo yake, unawezaje kuwa mtabiri wa kesho yake?
 

Akili yako inagota mapema sana. Tena una taahira ya uelewa sio bure. Naona umeamua kutuwekea na picha ambayo bila shaka haiendani na kitu kinachozungumzwa hapa.

Juzi hapa wanafunzi wa IFM wameingiliwa na mateja, je tukio hilo moja ndio kigezo kwamba kukaa hostel ni vibaya? Tumia akili yako wewe.

Nachoweza kukueleza ni kuwa, umbea ndio unaokufanya unashindwa kutanua akili yako na kutafuta sifa kumekupofusha ukafikiri wewe ndio uko sahihi saaana. Hebu tumchukulie huyo mume wenu TID kama mfano: (Nimesema mume wenu kwa kuwa wenyewe mmeamua kufuatilia maisha yake binafsi as if mnataka awaoe):

Mtu kuishi na mama yake na mtu kumtegemea mama yake ni mambo mawili tofauti. Kama TID anamtegemea mama yake kwa mahitaji, kiukweli si jambo jema. Hata hivyo, kwa kuwa siijui hali yake na nini kitakuwa kimepelekea hilo, basi si vyema kwangu kuanza shutuma dhidi yake.

Kwa upande mwingine, TID anaweza akawa anakaa na mama, lkn ni yeye mwenye kuwasapoti hapo nyumbani kwa mahitaji muhimu. Lets say nakaa nyumbani na nina ajira ya uhakika. Nikaona ni vyema kuendelea kuwepo hapo wakati najenga nyumba yangu. Uwepo wangu pale nyumbani na uwezo wangu wa kiuchumi unanifanya mm niwe nategemewa na familia kuwapatia mahitaji (baadhi) labda ndio nalipa umeme, maji na nanunua chakula.

Sasa katika hali ya kushangaza, wanaume (mnaojiita wanaume) tayari mmekurupuka na kukonkludi kuwa TID analelewa. Je huwa mnakuwepo kwao asubuhi wanapopanga bajeti za matumizi yao au ndio mnawashwa?

Na hizi tabia zenu ni matokeo ya kukulia kwenye nyumba za kupanga, tena uswahilini. Huko ndio mmejifunza umbea kwa mama zenu kiasi sasa maisha ya watu wengine ndio mada zenu.

Naanza kupata picha za maisha yenu kwa maneno yenu kwani mwenzako amesema ni mbaya kupishana na mama koridoni na taulo. Hapo napata picha ya nyumba ya kupanga ile ya kushea choo nje sasa mnadhani watu wote wanaishi hivyo. Wenzenu tuna nyumba zenye vyoo ndani kwa hauna nafasi ya mimi kukutana na mama na taulo wakati nina choo ndani kwangu. Halafu inaonesha ndio dizain zile za kutoka na taulo uwanjani kupiga mswaki na mitongotongo yako huku unasubiri foleni yako ya kuoga...poor you!

Acheni umbea wanaume
 

mkuu pole sana,naona jamaa wamepiga chini ya mkanda!
 
mkuu pole sana,naona jamaa wamepiga chini ya mkanda!

Kwa akili yako utaona hivyo, lkn ukiwa na fikra zilizonyooka kidogo utagundua kuwa hauko sahihi.
1. Nisingekuwa na haja ya kusema especially yanayonihusu
2. Nani anayemjua mwenzake hapa; HAKUNA

Inasikitisha tu kuona watoto wa kiume wana mambo ya mabinti ya kuchunguza wanaume wenzao wamevaa nini na wanakula nini.

Style hizi ndio maana unaona leo hii teja anaweza kumlawiti mtoto wa kiume sababu ya uwepo wa wanaume-mashostito wanaovaa hereni.

Na mtalawitiwa sana, mpaka mjue matendo ya kiume ni yepi na nguo za kiume ni zipi.
 

Duh! Umbea uliopitiliza mahitaji ya umbea ya nchi nzima.

Hivi wanawake mmeumbwaje, loh! Au ni wa kiume wewe umeshakaziwa demu wako ndio umekuja kupaka?!

Kukaa kwa mama si lazima ulelewe, yawezekana we ndio mlezi wa mama au unakaa kwao kiasi unawajua kuwa wananunuliwa dawa ya mswaki? Siku moja mtajasutwa hadharani
 

life tight mazee , uwezekano upo kuwa wao ndio waanahudumia familia . So bora akae nao kupunguza gharama .
 
Family always comes first .. sioni tatizo kuishi na wazazi...
 
Baba V kapita, naenda kumpokea jomba toka FRENSI
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu na maisha yake kimpango wake.Mbona wengine wanaishi ferry kule kwenye mitumbwi na wala sio wavuvi.
Na nyie mekaa kuchunguzana mpaka chupi.
 

Mkuu umenifurahisha sana na hiyo miguu 20x 20 vikindu!!ushauri mzuri kabisaaaaa.usupasta bongo ni sawa na Big G..wapi Mr Nice a.k.a kuku kapanda baiskel,wapi mamaa Mwasiti nalivua pendo,Juma nature?Chidi Benzino?wakati ukuta..sasa zamu ya Diamond domo na Linah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…