macerebrity wanaoshi kwa mama/wazazi

macerebrity wanaoshi kwa mama/wazazi

Sisi tunaoangalia basketball mamas boy kibao na ndio wanaomake things happen kuanzia le bron james, kevin durant, derick rose, ray allen etc..

Mwaka 2008 during Nba draft derick rose alifurahi sana alivyokuwa drafted na chicago bulls 1st pick kwamba atakuwa home chicago kwa mama huku anacheza NBA,, na jamaa wanalipwa hela nyingi sana lakini kuwa home ni kama blessings.. Black america loves their families a lot..

Hata mimi nimeondoka home sababu ya girlfriend tu lakini girlfriend akiwa hayupo,, nikipata time tu huyo kwa mamaaa.. Its a very nice atmosphere to be home with your precious mom.. There is no one like your mother,,,

inaonekana demu wako amekuzidi akili.!
 
asante dadangu King'asti kwa kutoa ushauri wa bure...Mwanaume mzima asubui Mama,mchana mama,jioni mama na usiku mama loh.!
 
Last edited by a moderator:
Mtoto kwa Mama hakui; waacheni waishi na mama zao iwapo ni chaguo lao!
 
Hilo ni chaguo lao la kimaisha, si lazima waishi kulingana na wew unavyofikiri...jua ni furaha pia kuishi pamoja na kuwahudumia wazazi, tatizo vijana wengi mkishamake mnajitenga na wazaz eti wanawabana! Cha msing show lov kwa wazaz kwa kuwahudumia wanachotaka halafu hata usiporudi mapema watajua umetoka kwenyeutafutaji tu...tusiendeshe maisha kama ya watu wa mbele zaid wakat sis ni watz
 
Ok,ngoja niseme hivi,mi tu vile niko mbali na home,lakini nikirudi bongo nyumba ya mama yangu ndio ninayofikia.Napenda sana kuchukua time na bi mkubwa.Sometimes naona tu vile kama simfurahishi sana kwasababu yeye anapenda kuwa na mimi sana,halafu mimi mbio nyingi.Ninavyofahamu mimi,wazazi wanapenda kuwa na watoto wao.Wanasononeka sana tukiwa mbali.Mi sioni sababu ya kuleta mada hii hapa.Kila mtu na mzazi wake wanajuana.
 
Do you.

Acha kubung'alia maisha ya watu.

Yako yatakushinda kwa u busybody na u blabbermouth.
 
Huu uzi ungeuliza watanzania wangapi wenye umri zaidi ya miaka 18 au 21 bado wanaishi kwa wazazi ingekuwa na maana zaidi lakini kwa style hii namchukulia mwanzisha thread kama ana kauoga kwa macelebrity wa kibongobongo!
 
ndo uuamini sasa......

Mambo ya ndani ya familia hakuna ajuae isipokuwa alovaa hicho kiatu...........

Kwanza hawa wasanii wana kipato gani?
Hizo milioni 5-6 za kuoanga nyumba mbagala si bora wakanunue miguu 20 kwa 20 vikindu wapachuke tofali waishi humo?????
Ukizingatia usupastaz bongi ni wa msimu? Muda wako ukipita tu umeumia....

La sivyo kesho na keshokutwa wakija kuomba msaada kwenye tv msiwanyanyapae...
mimi nimekuelewa lakini sasa hivyo viwanja watanunu kaka zaidi ya kuuza sura na kutanua mapaja ya watoto wa watu?
 
Kuna wakati huwa nawaza, kwa nini mtu ni maarufu halafu bado anaishi kwa wazazi? Kwa mfano, Mlelwa kwa umaarufu wako hustahili kuishi kwa mama, Baraka wa 69 records kwa nini bado upo kwa mama? TID, unaishi hananasifu kwa mama hivi kweli unachangia chakula na mama? Msechu unaishi kwa mama mdogo?

Umemsahau na DJ CHOKA pia, tena amepeleka na demu kabisa pale pale kwa mama ake SINZA
 
Hakuna ubaya hata chembe wa mtu kuishi na mama yake.

Wengine mama zao wagonjwa, wa akili au kiwili wili hawawezi kukaa mbali nao ili kuwahudumia

Wengine hawamiliki kipato cha kuhudumia nyumba mbili-yake na ya mama yake-huku akijipanga kimaisha kama kujenga au kuwekeza kwenye miradi mengine

MIpango ni kuchagua, binafsi sijaona ubaya wowote


Hata mama akiwa mzima, aanze kutafuta akiwa kwa mama, akipata akapange? Sijaelewa !!!!!
 
Back
Top Bottom