macerebrity wanaoshi kwa mama/wazazi


inaonekana demu wako amekuzidi akili.!
 
asante dadangu King'asti kwa kutoa ushauri wa bure...Mwanaume mzima asubui Mama,mchana mama,jioni mama na usiku mama loh.!
 
Last edited by a moderator:
Mtoto kwa Mama hakui; waacheni waishi na mama zao iwapo ni chaguo lao!
 
Hilo ni chaguo lao la kimaisha, si lazima waishi kulingana na wew unavyofikiri...jua ni furaha pia kuishi pamoja na kuwahudumia wazazi, tatizo vijana wengi mkishamake mnajitenga na wazaz eti wanawabana! Cha msing show lov kwa wazaz kwa kuwahudumia wanachotaka halafu hata usiporudi mapema watajua umetoka kwenyeutafutaji tu...tusiendeshe maisha kama ya watu wa mbele zaid wakat sis ni watz
 
Ok,ngoja niseme hivi,mi tu vile niko mbali na home,lakini nikirudi bongo nyumba ya mama yangu ndio ninayofikia.Napenda sana kuchukua time na bi mkubwa.Sometimes naona tu vile kama simfurahishi sana kwasababu yeye anapenda kuwa na mimi sana,halafu mimi mbio nyingi.Ninavyofahamu mimi,wazazi wanapenda kuwa na watoto wao.Wanasononeka sana tukiwa mbali.Mi sioni sababu ya kuleta mada hii hapa.Kila mtu na mzazi wake wanajuana.
 
Do you.

Acha kubung'alia maisha ya watu.

Yako yatakushinda kwa u busybody na u blabbermouth.
 
Huu uzi ungeuliza watanzania wangapi wenye umri zaidi ya miaka 18 au 21 bado wanaishi kwa wazazi ingekuwa na maana zaidi lakini kwa style hii namchukulia mwanzisha thread kama ana kauoga kwa macelebrity wa kibongobongo!
 
mimi nimekuelewa lakini sasa hivyo viwanja watanunu kaka zaidi ya kuuza sura na kutanua mapaja ya watoto wa watu?
 

Umemsahau na DJ CHOKA pia, tena amepeleka na demu kabisa pale pale kwa mama ake SINZA
 


Hata mama akiwa mzima, aanze kutafuta akiwa kwa mama, akipata akapange? Sijaelewa !!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…