christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Pole mkuu, umeongea kwa uchungu sanaMpaka siku akitokea Rais atakae nyonga watu kwenye hzo taasisi nyeti ndo tutaona ufanisi
Bila shaka hatuwez kumpata rais wa namna hyo maana kila rais anaeingia lazima alipe fadhila za waliomuweka kwahyo unakuta taasisi nyeti kama hzo kumejaa watoto wa waliomsaidia kukalia hicho kiti
Kwahyo suruhisho rahisi ni katiba mpya tu
mkuu nimesikia tetesi kuwa kampuni ya Wahindi ya Adani ipo pale au ndio mmoja ya wawekezaji watakokua wanashindana na DPWNchi hii ina IGA ngapi zilizo kazini muda huu?. Umezifahamu zote zilivyo kifungu kwa kifungu?. Kuna IGA nyingine mbili zinakuja hapo hapo bandarini mwezi ujao, unazifahaamu zipo vipi?.
Narudia kukwambia mwezi wa kumi tarehe za mwishoni hapo TPA panaanza kazi mpya kabisa ya uendeshaji, kama jamaa zako wanakula kwa kutegemea mifumo ya wizi na upigaji biashara yao ndio imekwisha rasmi.
Rais kusema anakaa kimya ni busara za kiuongozi alizoamua kutumia.
we kilazaHoja yako nini mbona hueleweki?
Hiki ndicho kinachofanyika..Je tukisema tuendelee kumuomba Mungu itakuwa ni idea ya uhaini?
Mungu pekee ndo anaweza kutuvusha kwenye hili
Wameanza kugeukana.Hiki ndicho kinachofanyika..
Hawa kenge hawaelewi kitu. Wameteka bunge na mahakama. Unadhani next step ni wapi?
Obvious, ni ku - appeal mbele ya baba yetu aliye mbinguni na ndivyo ambavyo inafanyika..
Na tayari, hatua za kimbingu zimekwisha anza kuchukuliwa na kutekelezwa...
Bandari tunaiweza kuindesha ,tatizo nii viongozi wa Tanzania tuBinafsi nafanya kazi za bandali, nikijionea micontenar inayotoka na kuingia kila siku nasikitika kwanini inchi yetu haisongi mbele. Kunasiku supervisor mmoja alinambia kua, mzunguko wa siku hiyo ilikua contener Mia nane, akisema kua hiyo ni takwimu yakawaida, wakati mwingine zinafika hadi miatsa au elfu moja, na hiyo ni kwaupande mmoja tu ule aliokua amekodishiwa ticts.
Kumbuka pia na TPA Wana upande wao ambao pia mzunguko wake unazidiwa kma 40%. Na kumbuka kila contenar huacha pesa si chini ya milioni moja.
Mbona imeeleweka sana ndugu. Unataka uelewe nini hapo?Hoja yako nini mbona hueleweki?
Naenda U tube andika aliyekuwa mfanyakazi WA Bandari afunguka mazitoJPM hakufanikiwa lolote huko bandari, ufisadi haukuwahi kuisha TPA na ufanisi Bado ulikua chini sana.
Sijui why mnamuona JPM alikua perfect, hivi si ndio NIDA alitumbua weee mbona bado vitambulisho havitoki?
Wote Yale Yale tu
Inawezekana mkuu, bado sijajua kampuni gani itakayokuja kuwekeza bandarini.mkuu nimesikia tetesi kuwa kampuni ya Wahindi ya Adani ipo pale au ndio mmoja ya wawekezaji watakokua wanashindana na DPW
Mimi najua serikali imeweka ruzuku kwenye mbolea ili mimi nimudu kuinunua kwa bei himilivu,mimi mkulima hapa ndiyo nimeguswa.Mimi najua serikali imetoa ajira nyingi za afya na elimu.Wadogo zangu na ndugu zangu wamepata ajira na kumeniondolea utegemewa niliokuwa nao kwa hawa wanandugu,hapa serikali imeyagusa maisha yangu.Haya ni baadhi tu kati ya mambo mengi ambayo serikali imefanya na inaendelea kufanya yanayo wagusa rai moja kwa moja.Nikuulize, wewe umeijuaje familia yangu hadi ulizungumzie hapa.
Hili tu linakufanya uonekane kuwa mpuuzi.
Angalia ujuha wako: Eti "ni serikali yenyewe ndiyo inajua hasarra na faida inayopatikana bandarini"; wewe umezuiwa kujua kama hiyo bandari inafanya kazi kwa ufanisi au la?
Hapo ulipo hujui kwamba matatizo yaliyopo hapo hapo bandarini yanatokana na ubovu wa utendaji unaoanzia serikalini; hata hili hulijui?
Mkuu 'KING KIGODA', umejitahidi sana kuigiza, na kwa sababu ya jitihada hiyo uliyofanya sitakujibu kwa dharau, ingawaje unastahili dharau kubwa katika haya uliyoandika hapa.Mimi najua serikali imeweka ruzuku kwenye mbolea ili mimi nimudu kuinunua kwa bei himilivu,mimi mkulima hapa ndiyo nimeguswa.Mimi najua serikali imetoa ajira nyingi za afya na elimu.Wadogo zangu na ndugu zangu wamepata ajira na kumeniondolea utegemewa niliokuwa nao kwa hawa wanandugu,hapa serikali imeyagusa maisha yangu.Haya ni baadhi tu kati ya mambo mengi ambayo serikali imefanya na inaendelea kufanya yanayo wagusa rai moja kwa moja.
Suala la Bandari ni suala la serikali moja kwa moja.Mimi rai nilishaunda hiyo serikali kupitia uchaguzi na wote waliopita katika uchaguzi ndiyo wawakirishi wangu katika masuala ya vitegauchumi vya serikali na mambo yote ya kiserikali.
Aisee!Mimi nina mambo mengi ya kushughulikia kuisaidia serikali katika kukuza uchumi.Mimi kuwa kwangu mkulima,mfanya biashara na muajiriwa,ni msaada tosha kwa serikali.
Sina la ziada nawe, ila nashukuru kukufahamu wewe, na njia zako hizi za kipuuzi za kutetea uovu ndani ya nchi yetu.Suala la Bandari ni suala la serikali moja kwa moja.Mimi rai nilishaunda hiyo serikali kupitia uchaguzi na wote waliopita katika uchaguzi ndiyo wawakirishi wangu katika masuala ya vitegauchumi vya serikali na mambo yote ya kiserikali.
Aisee!Mimi nina mambo mengi ya kushughulikia kuisaidia serikali katika kukuza uchumi.Mimi kuwa kwangu mkulima,mfanya biashara na muajiriwa,ni msaada tosha kwa serikali.
Siyo kweli kwamba Watanzania hawana uwezo wa kuendesha bandari bali ufanisi hauonekani kwa sababu watawala wamekinga mirija yao bandarini.
Suala la kusema bajeti ya TPA inakata ctober ili sikubaliani nalo ata kidogoNaeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni.
Najua humu JF wapo wenye kuyaelewa haya mambo yanavyokwenda, je hizi taarifa zimekaaje?
- Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha
- DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka.
- Siyo kweli kwamba Watanzania hawana uwezo wa kuendesha bandari bali ufanisi hauonekani kwa sababu watawala wamekinga mirija yao bandarini.
- Endapo serikali ingeunda mamlaka inayojiendesha kibiashara kusimamia bandari na kuwepo nanusimamizi wa kizalendo, bandari zetu zingeweza kuleta tija mara kumi zaidi ya kinachotarajiwa kuletwa na DPW
Hiyo ni mkakati WA mafisudi Ku lazimisha mambo kwamba hakuna hela na meli zipo hapo , hivyo ilikuwa lazima DP weldi aingie au yeyote wanayemtaka wahusikaSuala la kusema bajeti ya TPA inakata ctober ili sikubaliani nalo ata kidogo