Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Kajinyonge! Sio KAYOKO yuleeee!Simba wamebebwa na refa.wamefunga goli la mchongo nje ya muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajinyonge! Sio KAYOKO yuleeee!Simba wamebebwa na refa.wamefunga goli la mchongo nje ya muda.
Na wewe, ni miongoni mwa ma G.T wa JF!Ndiyo.Muda uliongezwa dk7 lakini wao wamefunga goli dk ya tisa baada ya kumhonga refa asimalize mchezo.
Marudiano wajiandae kubeba mimba huko Tunisia.1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile.
2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la pumzi kwa wachezaji , mara nyingi inataka kuanzia dk ya 60 nakuendelea.
3. Yusuph Kagoma ni kiungo mkabaji sahihi kwa timu ya Simba
Kama angeanza naamini angekua man of the match.
3. Inawezekana kocha hajajua stability na weakness za wachezaji wake, refer wanavyorudia kufanya makosa yaleyale, na substitution zake.
4. Che fondor Malone apunguze kujiamini kupitiliza, makosa madogo madogo yanaweza kusababisha kelele za mashabiki zimuondoe mchezoni.
5. Iangaliwe namna Valente Nouma acheze kama winga, kwani amewazidi vingi mawinga waliopo simba.
6. Kinachoigharimu Na kitakachoendelea kuigharimu Simba ni eneo la kiungo no. 10 pamoja na winga zote mbili 7 na 11 kwani hakuna wachezaji wa maana wa kucheza nafasi hizo. Kama ndio mfumo wa kocha basi umefeli ajaribu mwingine.
Soma Pia: Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024
Kiujumla Simba haijacheza vizuri kimfumo ila ni juhudi binafsi za wachezaji kulazimisha matokeo dakika za mwisho.
Sheria zipoMarudiano wajiandae kubeba mimba huko Tunisia.
Sheria zipo
Hii sio vita
kuhusu Ukuta wa Yeriko hapo unajisumbua tu kuandika yani ile ndio style yake na usidhano atakuja kuibadilisha pia makosa kama yale hayawzi kuisha ktk mchezo wa mpira1. Nafasi ya kiungo mshambuliaji no. 10 imeendelea kuwa ni tatizo kwa Simba, ni aibu timu kama Azam ina Feitoto halafu Simba haina mtu wa maana nafasi ile.
2. Simba inatakiwa ifanyie kazi eneo la pumzi kwa wachezaji , mara nyingi inataka kuanzia dk ya 60 nakuendelea.
3. Yusuph Kagoma ni kiungo mkabaji sahihi kwa timu ya Simba
Kama angeanza naamini angekua man of the match.
3. Inawezekana kocha hajajua stability na weakness za wachezaji wake, refer wanavyorudia kufanya makosa yaleyale, na substitution zake.
4. Che fondor Malone apunguze kujiamini kupitiliza, makosa madogo madogo yanaweza kusababisha kelele za mashabiki zimuondoe mchezoni.
5. Iangaliwe namna Valente Nouma acheze kama winga, kwani amewazidi vingi mawinga waliopo simba.
6. Kinachoigharimu Na kitakachoendelea kuigharimu Simba ni eneo la kiungo no. 10 pamoja na winga zote mbili 7 na 11 kwani hakuna wachezaji wa maana wa kucheza nafasi hizo. Kama ndio mfumo wa kocha basi umefeli ajaribu mwingine.
Soma Pia: Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024
Kiujumla Simba haijacheza vizuri kimfumo ila ni juhudi binafsi za wachezaji kulazimisha matokeo dakika za mwisho.
Basi refa nae simba.hapo vipi?Ndiyo.Muda uliongezwa dk7 lakini wao wamefunga goli dk ya tisa baada ya kumhonga refa asimalize mchezo.
Mnateseka🤣🤣🤣
Refa ni Simba 100%Basi refa nae simba.hapo vipi?
Karibu na wewe uwe simbaRefa ni Simba 100%
Fundisho kwa wapotezaji wa mudaSimba wamebebwa na refa.wamefunga goli la mchongo nje ya muda.
Na tumebebekaMakolo tumebebwa
😄😄😄😄Na tumebebeka
Tatizo Simba wako kombe la looserKaribu na wewe uwe simba
Mama kubwa tulia kwanza SHS ndio nini?Ulimsajili Kwa SHS ngapi? Tuanzie hapo hujui hata alietoa hela. Tunakuruhusu mfukuze.
Ndiyo.Muda uliongezwa dk7 lakini wao wamefunga goli dk ya tisa baada ya kumhonga refa asimalize mchezo.
Kunywa konyagi chupa lile kubwa ntakuja kulipa ili hasira zipungue [emoji23]