Machache yaliyoonekana Simba SC ikitandikwa na CS Costantine

Machache yaliyoonekana Simba SC ikitandikwa na CS Costantine

Ukiangalia Game ile timu ya Costantine hata haifai kuifunga Simba ni timu ndogo ya Hovyo iliyochoka!!! Simba walicheza bila malengo huoni mpango mtu akipata mpira hatoi pasi anabutua kwenda kokote huo mpira gani wa kishamba sana hivyo???
 
Lionel Christian Atebba,hana upampanaji hafai
 
Simba atapita kwenye hilo kundi kama Timu inayoongoza ni mbovu vile maana nao watafungwa gemu ya ugenini sioni kama wapo sawa wale jamaa hata wale waliowafunga Yanga wa kawaida sana..
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.View attachment 3172623
Simba kwenye kundi lake ya pili..Nyie hata point hamna
 
kwa hiyo Yanga sio kubwa tena?
Simba yanga sio timu kubwa africa bwana...tuacbe tantalila za magazeti.
Timu kubwa ninzile ambazo zilishashinda caf champions league.
Sisi tuseme tumepiga hatua kubwa lakini sio timu kubwa.

Tunawatakia mema kurwa na doto kwenye haya mashindano maana manufaa ya kufanya kwao vizuri wananchi wengi wananufaika.
 
1. Jean Charles Ahoua hana hadhi ya kuichezea Simba, dirisha dogo timu itafute playmaker mwingine

2. Upangaji wa kikosi umeendelea kuwa tatizo kwa kocha wa Simba, kuwaanzisha kwa pamoja mabeki wa kati watatu kuliwapunguzia umakini katika kutimiza majukumu yao.

3. Timu imecheza vizuri zaidi baada ya Debora Fernandez kuingia, kama kikosi kingeanza hivi huku kikishambulia na kulinda kwa tahadhali, mechi ingemalizika kwa sare au ushindi kwa Simba.

Soma Pia: Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

4. Lionel Christian Atebba ni mshambuliaji mzuri ila muda sio mrefu ataonekana garasa kama mchezeshaji ataendelea kuwa Jean Charles Ahoua (mechi ya leo ni mwanzo wa hiki)

5.Kocha wa Simba apunguze uoga akiwa ugenini alichokifanya leo ndicho alikifanya kwenye mechi na Al ahly tripoli, walio karibu naye wamwambie Simba ni timu kubwa jina tu linatosha kuzipa hofu timu pinzani hata zikiwa kwao.

All in all Nafasi ya kufuzu bado ni kubwa.
MVP vipi?
 
Ahoua kwa namba anayocheza hana msaada kwa timu. Ni mchezaji liable / weak sana number TEN inatakiwa uwe jitu la mavitu na utulivu wa kutosha.

Kocha ana changamoto ya kupanga kikosi na hiyo ni kwa sababu ya kuamini kulinda zaidi na kukosa umakini langoni mwa mpinzani.

Ahoua kwa sasa ni mzigo kwa Timu kitendo cha kocha kumweka nje AWESU ni kutukosea mashabiki huyu mchezaji wake hana sifa ya kucheza hata Tabora United. Mchezaji hana hatari langoni mwa mpinzani utulivu zero , Passing zero & dribbling zero so what kind of professional player is this ?


Kocha anatukosea sana Simba fans AWESU yupo Deborah ana utulivu mzuri anaanzia benchi kweli ? Ahoua must Go anawakaba wenzake.
Nyie sasa wachambuzi
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.View attachment 3172623
Hiloooo mabao 4 mechi mbili sufuri
 
Simba kwenye kundi lake ya pili..Nyie hata point hamna
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
JamiiForums-2104962820.jpeg
 
Hiloooo mabao 4 mechi mbili sufuri
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
Screenshot_2024-12-09-10-33-17-21_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC. View attachment 3172900
 
Ahoua jana kaiangusha sana Simba. Kuna goli mbili alipoteza kizembe sana moja mwanzoni mwa mchezo alikuwa anakandamiza tu shuti yeye mwenyewe na nyingine Ateba alikuwa kwenye nafasi nzuri ana subiri pasi. Kwangu mimi sioni sababu ya kumtumia Ahoua kama namba namba 10 wakati una Mavambo na Awesu. Ni wakati sasa kwa Simba wavunje benki wamsajili Fei Toto kama wataweza au wamlete Forsy kwenye hiyo nafasi. Au kama Mpanzu anaweza kucheza hiyo nafasi vizuri basi itakuwa heri kwao Simba.

Pamoja na makosa Ahoua anayoyafanya ya kujirudia kila mara kama vile kurudisha mipira nyuma wakati timu imeshafika mbele, kuzubaa na mpira ili hali washambuliaji wameshafungua na kutoa pasi anapotakiwa kupiga na kupiga anapotakiwa kutoa pasi lakini nimemwangalia mara nyingi sana Ahoua akitumika upande wa kushoto anakuwa hatari sana. Sijajua benchi la fundi pamoja na mtaalamu wao kuchambua mechi huwa wanafanya tathmini gani baada ya mchezo.

Aliye karibu na benchi la ufundi la Simba awaambie kabisa kuwa Ahoua bado ana umri mdogo na ana kipaji kikubwa sana na akilia ya mpira lakini kitendo chao cha kuendelea kumtumia kama namba 10 wajue tu wanakwenda kumpoteza kabisa kwa sababu kwa umri wake hataweza kuhimili kelele, matusi na kashfa za wapenzi na mashabiki wa Simba pale anapofanya makosa yanayojirudia hasa ikitokea siku hayo makosa yake yakaigharimu Simba. Ili kuokoa kipaji chake na vile vile timu iendelee kupata matokeo ni wakati sasa wa benchi la ufundi kumtumia Ahoua kama mshambuliaji wa pembeni kushoto ambapo anakuwa hatari sana hasa anapotokea kushoto kukata uwanja kuingia ndani. Na kwa kuthibitisha hilo mara nyingi akipata mpira akiwa katikati utamuona anapenda sana kukokota mpira kwenda pembeni kushoto badala ya kwenga kwenye goli la mpinzani moja kwa moja.

Mchezaji mwingine anayetakiwa kujirekebisha ni Kibu na mwenzake aliyekuwa benchi Mutale. Hawa jamaa sijui huwa wanawaza nini wakiwa uwanjani. Wao wakipata mpira badala waanze pasi na wenzao halafu ndio wafungue nafasi wapewe tena wao wanachojua ni kupiga chenga kama wapo wenyewe uwanjani na mbio kama ngiri mkia juu. Matokeo wanaishia kupoteza mpira na kuwapa wenzao wakati mgumu wa kuanza kuutafuta mpira upya. Mbaya zaidi hawa jamaa hawanaga utulivu mbele ya goli ndio maana mpaka leo ukitafuta mara ya mwisho wamefunga lini itakuchukua muda sana kupata hizo taarifa.

Ni mtizamo tu.
 
Back
Top Bottom