Machache yaliyoonekana Simba SC ikitandikwa na CS Costantine

Yes.halafu kanatabirika,huwa kanakimbia pembeni halafu kanapiga chenga ya kufinya mpira kulia kwa nyuma ambayo inasimamisha au kupoozesha mashambulizi,halafu kanakimbia kivivu na mpira then hakatoi pasi kwa wakati
Kanatabirika kama penalti za AZIZA MABETO. Chini upande wa kulia wa kipa.
 
Ahoua jana kaiangusha sana Simba. Kuna goli mbili alipoteza kizembe sana moja mwanzoni mwa mchezo alikuwa anakandamiza tu shuti yeye mwenyewe na nyingine Ateba alikuwa kwenye nafasi nzuri ana subiri pasi. Kwangu mimi sioni sababu ya kumtumia Ahoua kama namba namba 10 wakati una Mavambo na Awesu. Ni wakati sasa kwa Simba wavunje benki wamsajili Fei Toto kama wataweza au wamlete Forsy kwenye hiyo nafasi. Au kama Mpanzu anaweza kucheza hiyo nafasi vizuri basi itakuwa heri kwao Simba.

Pamoja na makosa Ahoua anayoyafanya ya kujirudia kila mara kama vile kurudisha mipira nyuma wakati timu imeshafika mbele, kuzubaa na mpira ili hali washambuliaji wameshafungua na kutoa pasi anapotakiwa kupiga na kupiga anapotakiwa kutoa pasi lakini nimemwangalia mara nyingi sana Ahoua akitumika upande wa kushoto anakuwa hatari sana. Sijajua benchi la fundi pamoja na mtaalamu wao kuchambua mechi huwa wanafanya tathmini gani baada ya mchezo.

Aliye karibu na benchi la ufundi la Simba awaambie kabisa kuwa Ahoua bado ana umri mdogo na ana kipaji kikubwa sana na akilia ya mpira lakini kitendo chao cha kuendelea kumtumia kama namba 10 wajue tu wanakwenda kumpoteza kabisa kwa sababu kwa umri wake hataweza kuhimili kelele, matusi na kashfa za wapenzi na mashabiki wa Simba pale anapofanya makosa yanayojirudia hasa ikitokea siku hayo makosa yake yakaigharimu Simba. Ili kuokoa kipaji chake na vile vile timu iendelee kupata matokeo ni wakati sasa wa benchi la ufundi kumtumia Ahoua kama mshambuliaji wa pembeni kushoto ambapo anakuwa hatari sana hasa anapotokea kushoto kukata uwanja kuingia ndani. Na kwa kuthibitisha hilo mara nyingi akipata mpira akiwa katikati utamuona anapenda sana kukokota mpira kwenda pembeni kushoto badala ya kwenga kwenye goli la mpinzani moja kwa moja.

Mchezaji mwingine anayetakiwa kujirekebisha ni Kibu na mwenzake aliyekuwa benchi Mutale. Hawa jamaa sijui huwa wanawaza nini wakiwa uwanjani. Wao wakipata mpira badala waanze pasi na wenzao halafu ndio wafungue nafasi wapewe tena wao wanachojua ni kupiga chenga kama wapo wenyewe uwanjani na mbio kama ngiri mkia juu. Matokeo wanaishia kupoteza mpira na kuwapa wenzao wakati mgumu wa kuanza kuutafuta mpira upya. Mbaya zaidi hawa jamaa hawanaga utulivu mbele ya goli ndio maana mpaka leo ukitafuta mara ya mwisho wamefunga lini itakuchukua muda sana kupata hizo taarifa.

Ni mtizamo tu.
Umechambua vizuri, lakini Makolo wenzako watakuambia kwanini usiombe ukocha?
Nawafahamu vizuri jamaa zako hao hawataki timu yao kukosolewa hata kama ni kwa nia ya kujenga.
 
Sawa nimezifikisha kaka
 
Back
Top Bottom