Machache yaliyoonekana Simba SC ikitandikwa na CS Costantine

Yes.halafu kanatabirika,huwa kanakimbia pembeni halafu kanapiga chenga ya kufinya mpira kulia kwa nyuma ambayo inasimamisha au kupoozesha mashambulizi,halafu kanakimbia kivivu na mpira then hakatoi pasi kwa wakati
Kanatabirika kama penalti za AZIZA MABETO. Chini upande wa kulia wa kipa.
 
Umechambua vizuri, lakini Makolo wenzako watakuambia kwanini usiombe ukocha?
Nawafahamu vizuri jamaa zako hao hawataki timu yao kukosolewa hata kama ni kwa nia ya kujenga.
 
Sawa nimezifikisha kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…