Machafuko Burundi Kampuni Ya Sogea Satom Yahusika

Machafuko Burundi Kampuni Ya Sogea Satom Yahusika

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Wafaransa ni watu Fitna kuliko watu wote Duniani. Ni mabingwa wa kupandikiza chuki, undumi la kuwili na mambo kama hayo. Nchi zote zilizotawaliwa na wafaransa/wabelgiji mpaka leo hii hazikaliki.

Kampuni inayojishughulisha na ujenzi ya Sogea Satom Ilikwisha pigwa marufuku Rwanda sababu ya kuhusika na uingizaji wa silaha kinyemela.

Kampuni hii ina miradi kadha wa kadha nchini Burundi na moja ya mambo ambayo huyafanya ki chini chini ni pamoja na hili la kuwachanganya warundi kupandikiza chuki na hila kuanzia wafanyakazi wa kampuni na raia mitaani.

Hii ina maana kwamba tayari kuna mzigo wa silaha wana uhakika kufanya biashara.
Hatari ni kwamba kampuni hii pia iko Tanzania na ndiyo iliyojenga barabara ya Songea mpaka Namtumbo.

Kwa sasa hapana shaka iko Arusha maeneo ya Nanja na ofisi zao zipo karibu na kiwanda cha coca cola Kwanza Dar es salaam.

Ni Kampuni hatari.
 
Pamoja na ukweli ambao yawezekana ukawepo ndani ya hili, hapa naomba nitofautiane na wewe mkuu, hapa tatizo ni wa afrika wenyewe, hususani huyu rais Nkurunzinza maana bila ya yy kuvunja katiba na kutangaza kuwania urais kwa awamu ya tatu sidhani kama haya yangelitokea, wafrika tuna matatizo ya ndani ambayo tusipoyarekebisha ss wenyewe tutaendelea bakia hapa tulipo au tutarudi nyuma zaidi ya hapa, ubaya zaidi wazungu wamegundua udhaifu huo tangu na wanaendelea kuutumia kutuumiza mpaka kesho
 
Uongo,itakuwa ni nyie niliwaona mukitimuliwa kwenye geti la sogea satom mulipokuwa mukiomba ajira,usichukie mkuu,jaribu sehemu nyingine badala ya kuwachafua watu
 
Uongo,itakuwa ni nyie niliwaona mukitimuliwa kwenye geti la sogea satom mulipokuwa mukiomba ajira,usichukie mkuu,jaribu sehemu nyingine badala ya kuwachafua watu
....Senegalese opposition leader blames France over Ivorian crisis .... in the current mediation efforts intended to help Cote d'Ivoire get out of its political crisis. .... group Vinci has denied allegations that its branch Sogea Satom used corrupt...... .

Miafrika bwana shida tupu, sijui hao wafaransa ndio wamebadili katiba?
Ni mpumbavu tu ndio anaweza kuamini ujinga huu,
​Ha ha ha haaaa,suala la burundi tena linaonekana kabisa tatizo ni nini mtu anawataja wafaransa,tena wajenga barabara,jamani jamani jamani,aaaah
 
Ila ni kampuni kubwa na yenye vifaa vingi na uwezo mkubwa kiutendaji.
 
Mleta mada yupo sahihi sana,kampuni hizo ni za kijasusi.
 
Hapa Tanzania tuna kampuni inajishughulisha na uchimbsji wa mafuta na gas inaitwa HARRIBURTON, ni kampuni kubwa sana toka USA, popote ilipofanya kazi hii ksmpuni especially middle East kulitokea machafuko!

Mtoa mada anaweza akawq sahihi kwa namna fulani!
 
Back
Top Bottom