nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Wafaransa ni watu Fitna kuliko watu wote Duniani. Ni mabingwa wa kupandikiza chuki, undumi la kuwili na mambo kama hayo. Nchi zote zilizotawaliwa na wafaransa/wabelgiji mpaka leo hii hazikaliki.
Kampuni inayojishughulisha na ujenzi ya Sogea Satom Ilikwisha pigwa marufuku Rwanda sababu ya kuhusika na uingizaji wa silaha kinyemela.
Kampuni hii ina miradi kadha wa kadha nchini Burundi na moja ya mambo ambayo huyafanya ki chini chini ni pamoja na hili la kuwachanganya warundi kupandikiza chuki na hila kuanzia wafanyakazi wa kampuni na raia mitaani.
Hii ina maana kwamba tayari kuna mzigo wa silaha wana uhakika kufanya biashara.
Hatari ni kwamba kampuni hii pia iko Tanzania na ndiyo iliyojenga barabara ya Songea mpaka Namtumbo.
Kwa sasa hapana shaka iko Arusha maeneo ya Nanja na ofisi zao zipo karibu na kiwanda cha coca cola Kwanza Dar es salaam.
Ni Kampuni hatari.