Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

Mpaka tunaingia mitamboni miji hii kinawaka sasa
1. Paris
2. London
3. Berlin


Jana ilikua New York na pia Lebanon kunawaka moto kati ya polisi na waandamanaji wanaopinga uonevu wa Israel kwa Palestina
Wavae jezi!
Pepo wanaitaka kufa hawataki [emoji13]
 
Wee muumini wa Mudy uwe unakaa kimya wanaume tunapokula kitimoto
 
Labda kwako. Bila wao hata hii jamii FORUM ISINGEKUWEPO. kututawala walitutawala skupingi. Ila maendeleo ya dunian asilimia kubwa yameletwa na ngozi nyeupe.
WAKATI ISAAC NEWTON ANAGUNDUA FIRST LAW OF MOTION. BABU ZETU WALIGUNDUA POPO MBILI ZAVUKA MTO.
Fikiri
 
Asilimia 95% ya hao waandamanaji ni Waislamu. Sijui kwa nini hawaandamani ISIS Alshabab na Boko Haram wanavyochinja Waislamu wenzao. Ni wanafiki tu.

Israel zidisha dozi.

NO MERCY

RTI
Wanafiki kweli kweli..... Kuna wakati Boko Haramu waliteka wanafunzi huko Nigeria... Zaidi ya mabinti 200 walitekwa... Lakini hatukuona haya maandamano.... Unafiki sana huu....
 
Kwanini wana andamana kwenye nchi za watu kwanini wasiandamane kwenye nchi za karibu hapo! Kwahiyo wanawaogopa boko haram, alshabab maana hatujasikia hata siku moja

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app

Hili swali hutojibiwa,hata wanaorusha mawe wanadream kwenda kuishi Marekani,hapa ndipo tatizo linapoanzia.
 
[emoji87][emoji848][emoji85][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]popo 2 zavuka MTO, looo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…