Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

Asilimia 95% ya hao waandamanaji ni Waislamu. Sijui kwa nini hawaandamani ISIS Alshabab na Boko Haram wanavyochinja Waislamu wenzao. Ni wanafiki tu.

Israel zidisha dozi.

NO MERCY

RTI
Ficha ujinga wako! Pumbaffff
 
Jiulize Musa wa Torati ni muarabu wa Dubai au alikuwa muisraeli ndio ataelewa
 
Ambacho hujui ni kwamba wamejitahidi sana usijue historia yako.. zaidi ya vita vya majimaji
 
Wenzenu wanathubutu kuandamana kwny nchi za wenzetu,sie tukiambiwa tuandamane tunajifungia ndani.
Waende Gaza wakaandamane wakione cha moto kama ni rahisi. Wanaoandamana wengi ni wahamiaji tena wanatoka nchi hizo za kiarabu Ila leo wakiambiwa warudishwe kwao watakataa ndio hapo utajua ni unafiki mtupu
 
Dunia,kwani Biden ni nani? Ana mtazamo wako kama wengine lakini dunia ikikwamulia utakubali tu.

Unakumbuka maandamano ya BLM? Si dunia iliandamana,mbona yule askari ameshtakiwa japo mzungu?
Usifananishe ISRAEL na vitu vya kipumbavu
 
Labda wewe[emoji849][emoji849][emoji2961][emoji2961]
Kwa mujibu wa elimu dunia sio maneno yangu. kama kweli umeenda shule hautakuwa na ubishi kwenye swala hili.
 
Kwa mujibu wa elimu dunia sio maneno yangu. kama kweli umeenda shule hautakuwa na ubishi kwenye swala hili.
Kama ni hivyo basi kusingekuwa na sokwe tena
 
Kama ni hivyo basi kusingekuwa na sokwe tena
Sasa usibishane na mim ilibidi ubishane na mwalimu wako wakati anakufundisha. Pengine leo hii tusingekuwa tunasoma ivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…