Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Tumetoka kwenye utawala wa kisheria sasa tunaingia kwenye siasa za kutoana roho, lawama zote na kiini cha haya yote ni mtu mmoja tu mwenye tamaa ya madaraka.
Hii inaweza kupelekea vita vya sisi kwa sisi Tanzania kwa sasa sio salama tena kuna uwezekano wa machafuko kutokea hatakama watanzania walikuwa ni waoga.
Mtu mwenye tamaa za madaraka ameigawa nchi kwa rushwa kwenye mamlaka zote, anauwa watu hovyo na kuteka watu hovyo, hii inaweza kuwa mbaya baadae.