Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
gentleman,Tumetoka kwenye utawala wa kisheria sasa tunaingia kwenye siasa za kutoana roho, lawama zote na kiini cha haya yote ni mtu mmoja tu mwenye tamaa ya madaraka.
Hii inaweza kupelekea vita vya sisi kwa sisi Tanzania kwa sasa sio salama tena kuna uwezekano wa machafuko kutokea hatakama watanzania walikuwa ni waoga.
Mtu mwenye tamaa za madaraka ameigawa nchi kwa rushwa kwenye mamlaka zote, anauwa watu hovyo na kuteka watu hovyo, hii inaweza kuwa mbaya baadae.
Endelea kujipa moyo.gentleman,
hakuna kibaka wala tapeli wa kisiasa nchini anaweza kuvuruga amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania hata kwa sekunde moja tu.
kama yupo ajaribu aone zawadi atakayopatiwa
Hamtaaminigentleman,
hakuna kibaka wala tapeli wa kisiasa nchini anaweza kuvuruga amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania hata kwa sekunde moja tu.
kama yupo ajaribu aone zawadi atakayopatiwa
Wana madudu yao but wanasingiziwa mengiWazungu huwa wanasingiziwa tu
ni kweli,Hamtaamini
siwezi kubabaika na ramli au ushirikina wa kilofa hivyo gentlemanEndelea kujipa moyo.