Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Naamu
Hakuna Msiba unaokosa Matanga na ukiona Moshi ujue kuna Moto Utawaka au Umewaka.
Bado Watanzania tupo katika Majonzi ya Ndugu zetu waliopata Maafa ya D29 ambapo ni masikitiko makubwa yanatokana na dhamira ya watu wachache kujitafutia umaarufu na Kujilimbikizia Mali kupitia Majukwaa Miliki.
Je,ni kweli Watanzania wamechoka Maisha/Siasa za CCM au kuna jambo Mbadala limejificha?hapa ndipo kuna Siri kubwa juu ya Maisha ya Ndugu zetu waliopoteza Maisha ila Ukweli hili swala ni la pande 3 na kama ni hivyo pande zote zinatakiwa kuketi meza moja na kuacha busara zitumike.
1.Serikali kwa Ujumla
2.Viongozi wa Kidini na
3.Jeshi la Polisi
Kipindi Rais anapokuwa Anatoka Tanganyika Wazanzibari wanalilia Rasilimali zao na Kinyume Chake,Rais anapokuwa Mkristo Waislamu wanasema kivyao na kinyume chake lakini pia Polisi wanapochukua Maamuzi yao juu ya watu wao nao wananchi wanafanya yao.
Nadhani kuna Ulazima wa kutafuta Central of Gravity/Kiini cha tatizo na kukiondoa Kwa maridhiano lakini bila Kusahau Ubaguzi wa Kidini ni sawa na Ubaguzi wa Kikanda na Ubaguzi wa Kikanda ndiyo Ubaguzi wa Kikabila.
Tuishi kufikia Lengo na siyo kutengeneza nyufa ili kutengeneza fursa kwa Wengine.