Machafuko ya middle east na uchokozi wa Israel ni wazi kuwa inataka kutengenezwa vita ya 3

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Hakuna asiyefahamu kuwa Bara la Asia ndiye tajiri mkubwa wa imani za kidini takribani asilimia 60 ya dini zimetoka katika bara la Asia niwazi kuwa ndiyo bara lenye ustaarabu mdogo kuliko mabara mengine hapa duniani,na kwasababu hizi imetengenezwa mfumo wa dini ili kuzitawala akili mbovu za hawa viumbe imagine watoto wa kike walikuwa wanazikwa wakiwa wazima.

Kulikuwa na Mstari wa watu wakiwa uchi huku tupu zao zikiingia katika tupu ya nyuma ya watu wenye same gender, njaa ilikithiri sababu ya utu wa madaraka vita vikawa haviishi, hivyo sijashangaa kuona imani zikatengenezwa ili kuweza kuutawala ulimwengu lakini pia, kwasasa inatafutwa chochoko ya kukamilisha neno la bibilia kwamba vita ya 3 itatokea na hapo ndipo mnyama atadhihirika(NWO) kitu ambacho marekani na mshirika wake wanakifanya kwa kasi kubwa ili kulifanya hili jambo kwa haraka zaidi, juzi tumesikia vikosi vya Israel vimevamia Rafah, jana Tayari helicopter Imepata ajali kitu ambacho kwa asilimia kubwa kunakuwa na mkono wa mtu katika hili tukio.

Lengo siyo kulipiza kisasi bali ni kuleta chokochoko ili kumkaribisha huyo mnyama wao waliyomkusudia.

Pia soma: Ikitokea Ukanda wa Middle East Waarabu wakaungana wakaipiga Israel na kuiangamiza. Je, asili ya Israel itabaki pale?
 
watz kwenye ubora wetu ,,, tunajua sana kuelezea mambo ya nchi za watu kuliko hata wao.. 😀 😀 😀 😀
 
Hayo mambo yao sisi hayatuhusu.

Waafrica hatujapewa kitabu chochote cha hizo dini zao. Vitabu vya dini zao Walipeana wenyewe kwa wenyewe na Mungu wao kwenye mapango na milima.

Hizo dini zingetuhusu kama na Mababu zetu wangeshushiwa vitabu pia
 
Unajua vizuri kuchambua vitabu vya unabii vya danieli na ufunuo kwa uhalisia au unaleta nadharia za mafundisho ya kisabato?
 
Hakuna asiyefahamu kuwa Bara la Asia ndiye tajiri mkubwa wa imani za kidini takribani asilimia 60 ya dini zimetoka katika bara la Asia niwazi kuwa ndiyo bara lenye ustaarabu mdogo kuliko mabara mengine hapa duniani,na kwasababu hizi imetengenezwa mfumo wa dini ili kuzitawala akili mbovu za hawa viumbe imagine watoto wa kike walikuwa wanazikwa wakiwa wazima.

Kulikuwa na Mstari wa watu wakiwa uchi huku tupu zao zikiingia katika tupu ya nyuma ya watu wenye same gender,njaa ilikithiri sababu ya utu wa madaraka vita vikawa haviishi,hivyo sijashangaa kuona imani zikatengenezwa ili kuweza kuutawala ulimwengu lakini pia,kwasasa inatafutwa chochoko ya kukamilisha neno la bibilia kwamba vita ya 3 itatokea na hapo ndipo mnyama atadhihirika(NWO) kitu ambacho marekani na mshirika wake wanakifanya kwa kasi kubwa ili kulifanya hili jambo kwa haraka zaidi,juzi tumesikia vikosi vya Israel vimevamia Rafah,jana Tayari helicopter Imepata ajali kitu ambacho kwa asilimia kubwa kunakuwa na mkono wa mtu katika hili tukio.

Lengo siyo kulipiza kisasi bali ni kuleta chokochoko ili kumkaribisha huyo mnyama wao waliyomkusudia.
hahahahahah nilijua tu!helicopter idondoke huko IRAN kwa sababu ya hali mbaya ya hewa, anasingiziwa MUISRAEL!like serious
 
Hakuna asiyefahamu kuwa Bara la Asia ndiye tajiri mkubwa wa imani za kidini takribani asilimia 60 ya dini zimetoka katika bara la Asia niwazi kuwa ndiyo bara lenye ustaarabu mdogo kuliko mabara mengine hapa duniani,na kwasababu hizi imetengenezwa mfumo wa dini ili kuzitawala akili mbovu za hawa viumbe imagine watoto wa kike walikuwa wanazikwa wakiwa wazima.

Kulikuwa na Mstari wa watu wakiwa uchi huku tupu zao zikiingia katika tupu ya nyuma ya watu wenye same gender,njaa ilikithiri sababu ya utu wa madaraka vita vikawa haviishi,hivyo sijashangaa kuona imani zikatengenezwa ili kuweza kuutawala ulimwengu lakini pia,kwasasa inatafutwa chochoko ya kukamilisha neno la bibilia kwamba vita ya 3 itatokea na hapo ndipo mnyama atadhihirika(NWO) kitu ambacho marekani na mshirika wake wanakifanya kwa kasi kubwa ili kulifanya hili jambo kwa haraka zaidi,juzi tumesikia vikosi vya Israel vimevamia Rafah,jana Tayari helicopter Imepata ajali kitu ambacho kwa asilimia kubwa kunakuwa na mkono wa mtu katika hili tukio.

Lengo siyo kulipiza kisasi bali ni kuleta chokochoko ili kumkaribisha huyo mnyama wao waliyomkusudia.
Sawasawa.Umekunywa kahawa?Kwa ufupi,mlinyimwa akili za kuona kesho yenu.Akili zimeishia urefu wa pua zenu.
 
Back
Top Bottom