Machawa wa Samia wamekuwa kimya sana, kulikoni?

Machawa wa mama wamekumbwa na nini? Mbona hawafanyi tena ile misifa yao mtandaoni?

Ukimya huu unamaanisha nini?
Walicheza na samia muuaji sasa damu aliyo imwaga tanganyika imewatisha kuwa mwisho wao pia ni mbaya...nakumbuka siku za maandamano diamond aliletwa Airport na ambulance ya wagonjwa kutoroka nchi...machawa wameingizwa mkenge na kahaba kijinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…