R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Aug 22, 2025 #1 Kila mmoja anashangilia kufungwa, WHY? Watu wana chuki na utawala huu. Umejiingiza na rushwa kibao kwa wachezaji, hata wapenda mpira wakajitoa. Lakini kwa vile viburi ni sera yao, hawatajifunza!
Kila mmoja anashangilia kufungwa, WHY? Watu wana chuki na utawala huu. Umejiingiza na rushwa kibao kwa wachezaji, hata wapenda mpira wakajitoa. Lakini kwa vile viburi ni sera yao, hawatajifunza!
ankol JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 2,720 Reaction score 5,286 Aug 22, 2025 #2 Mwenye crown yake apewe tu mana amepambana sana.
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Aug 22, 2025 #3 Wamejitahidi lakini wapi
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Aug 22, 2025 #4 Retired said: Kila mmoja anashangilia kufungwa, WHY? Watu wana chuki na utawala huu. Umejiingiza na rushwa kibao kwa wachezaji, hata wapenda mpira wakajitoa. Lakini kwa vile viburi ni sera yao, hawatajifunza! Click to expand...
Retired said: Kila mmoja anashangilia kufungwa, WHY? Watu wana chuki na utawala huu. Umejiingiza na rushwa kibao kwa wachezaji, hata wapenda mpira wakajitoa. Lakini kwa vile viburi ni sera yao, hawatajifunza! Click to expand...
SweetyCandy JF-Expert Member Joined Sep 17, 2022 Posts 5,474 Reaction score 10,518 Aug 22, 2025 #5 Kiongozi wao anapokea rushwa wasifungwe hata Simba ndio hivyoo alipokea tena hela za waarabu ndio mana pole pole kamaliza
Kiongozi wao anapokea rushwa wasifungwe hata Simba ndio hivyoo alipokea tena hela za waarabu ndio mana pole pole kamaliza
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,899 Reaction score 73,370 Aug 22, 2025 #6 Mhhhh
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Aug 23, 2025 Thread starter #7 nimefurahi sana....................pesa za kununua madawati anachezea, rushwa tupu