Machawa wamemwagwa JF, tuwablock wabaki wanawasiliàna wenyewe mimi nimeblock wawili leo

Hata miye nimeyablock mashetani yote yanayotetea uovu dhidi ya watanganyika. Nimeblock machawa mawili.
Ni vema kila anayejali uhai wa mwanadamu mwenzake, kuyablovk mashetani yanayofurahia mauaji ya Watanganyika. Block haya:

Tlaatlaah
Mwashambwa
Doctor wa Manesi
and all the like.
 
That's nonsense of high level 🐒
 
Na ukweli tukifanya hivi jf itabaki na watu wenye akili tu. Na sio mtu kukaa kushabikia ujinga na kabisa anajua ni ujinga kisa tu ni chawa. Mimi tayar ignore 3 block 6 hadi wakome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…