Machawa wanapata wapi pesa? Aristote amjengea ghorofa la kwenda mlinzi wake

Machawa wanapata wapi pesa? Aristote amjengea ghorofa la kwenda mlinzi wake

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Kwenye kipindi ambacho Watanzania wengi wanaishi kwenye vibanda umiza, mfanyabiashara na chawa maarufu nchini Aristote ameshusha bonge la ghorofa maalum kama sehemu ambayo mlinzi wake atakuwa anaishi yaani Servants Quarters

Aristote alitumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha ghorofa hilo ambalo so far halijamaliziwa na katika post hiyo alikuwa ametangaza ajira kwa vijana wa Suma JKT.

Swali langu ni kuwa hawa machawa wanapata wapi pesa au kuna mambo mengine nyuma ya pazia ambayo hatuyajui?

Soma pia:

~ Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje
~ Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?

Video iko hapo:


 
Back
Top Bottom