Kwenye kipindi ambacho Watanzania wengi wanaishi kwenye vibanda umiza, mfanyabiashara na chawa maarufu nchini Aristote ameshusha bonge la ghorofa maalum kama sehemu ambayo mlinzi wake atakuwa anaishi yaani Servants Quarters
Aristote alitumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha ghorofa hilo ambalo so far halijamaliziwa na katika post hiyo alikuwa ametangaza ajira kwa vijana wa Suma JKT.
Swali langu ni kuwa hawa machawa wanapata wapi pesa au kuna mambo mengine nyuma ya pazia ambayo hatuyajui?