Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Labda ni lazima kwa sasa kuwa chawa, usipokuwa chawa unatumbuliwa.Nimeamini ukiwa ccm akili zako lazima uzitoe hata huyu Dokta gwajima kawa chawa pro pamoja na elimu yake?
Ni kujishusha heshima vibaya mnoLabda ni lazima kwa sasa kuwa chawa, usipokuwa chawa unatumbuliwa.
Huo ni wivu, we kaziprint za kwako, kila kt kulalamika. Hao ni wapenzi wa Samia sasa mchawi km ww nani atakupendaWakuu,
Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?
Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?
Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.
Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?
Sasa hiki ni nini?๐คฆโโ๏ธ๐คฎ๐ฎ๐ฎ
Akubalike mara ngapi we bwege? We ndio hukubaliki ndio mana ukajiuta "cute wife" wakati tunajua we ni nungaembe flani linalodanga ndoa unaziona kwenye TVWakuu,
Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?
Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?
Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.
Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?
Sasa hiki ni nini?๐คฆโโ๏ธ๐คฎ๐ฎ๐ฎ
Libibi hiloKaa kwa kutulia mzee
Jikombe ww km ni rahisiUpuuzi upuuzi tu, kujikomba komba tu๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
We tutolee huo ushuzi wakoEmbu tutolee upupu wako hapa
Mpaka sasa, tujiandae kwa lolote, lazima kila hatua inayokuja ni afadhali tuliyoipita.Yaani, ipo siku watafanya jambo kubwa la kuathiri watu wengi itakuwa too late
kwani tatizo ni nini hasa wanawake wenye gubu na msiopendana?๐Wakuu,
Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?
Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?
Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.
Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?
Sasa hiki ni nini?๐คฆโโ๏ธ๐คฎ๐ฎ๐ฎ
Ni muendelezo wa kampeni ya urais.Wakuu,

Hii ndio ajira pekee umejikita huko, mmejaa uchawa hadi mmekuwa wapumbavu.Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Huyo ni Lukas Mwashambwa Jabali la siasa nchini mcha Mbuzi na mdada vuzi mkongwe.We nawe ni ๐ฎ๐ฎ kama hivyo vitenge