Pre GE2025 Machi 8 tunaadhimisha Siku ya Wanawake au Siku ya Samia? Picha zake kutapakaa kwenye vitenge vya maadhimisho ni ili iwe nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nje ya mada kitoko.
Hii ni cat fight?

Nirudi:
Sisi wana CHADEMA tungekuwa na pesa ya kumwaga, tingefanya hivyo tyu, ni vile hatuna jinsi nakwambia.

Ni bakati ya mukampeni hii. Tu join muchein tunusuru CHADEMA yetu. Tupate mu faranga tuweke mupicha kwa mulesomukitenge zyote tena bile ya kongo batatuonea gele
 
Wakuu,

Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?

Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?

Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.

Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?

Sasa hiki ni nini?🤦‍♀️🤮🚮🚮

Huo ni wivu, we kaziprint za kwako, kila kt kulalamika. Hao ni wapenzi wa Samia sasa mchawi km ww nani atakupenda
 
Watu wanatetea ajira zao. Wanasema mpambe ndie nuksi yenyewe sasa.
 
Wakuu,

Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?

Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?

Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.

Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?

Sasa hiki ni nini?🤦‍♀️🤮🚮🚮

Akubalike mara ngapi we bwege? We ndio hukubaliki ndio mana ukajiuta "cute wife" wakati tunajua we ni nungaembe flani linalodanga ndoa unaziona kwenye TV
 
Huu Ujinga unaoendelea kuenea Kwa Kasi kwenye hii nchi wa kulaumiwa ni Magufuli si mwingine!,Kitendo Cha kumteua huyu Bi Kizee Kuwa makamu wake alitukosea sana watu wenye akili timamu!
 
Wakuu,

Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?

Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?

Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.

Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?

Sasa hiki ni nini?🤦‍♀️🤮🚮🚮

kwani tatizo ni nini hasa wanawake wenye gubu na msiopendana?🐒

kwani kuna mwananke aliezuiwa kuprint kitenge chenye sura yake?🐒
 
Wakuu,

Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa?

Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo ofisini kama msumeno wako unakata sehemu moja tu wengine haufiki?

Yaani utafikiri ndio tunasherekea birthday ya Samia, kujaza sura Samia halafu mseme ni Siku ya Wanawake huo ni uzindiki. Yaani mnafosi mtu akubalike mpaka mnaboa. Hata haistui zaidi ya kuonekana wajinga tu.

Halafu ikifika muda wa kutoa tathimi za uchaguzi utaona wale chuchunge wakisema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Unakuaje wa haki wakati rafu zimeanza mapema hivi?

Sasa hiki ni nini?🤦‍♀️🤮🚮🚮

Ni muendelezo wa kampeni ya urais.
 
Alisikika zuchu akisema

Naa mchapakazi samia!!

Bila wao hii dunia sio salama
 
Back
Top Bottom