Hv tunawasingizia au ni kweli?kama ni kweli wanapinga basi hao ni machifu feki kabisa na wasichafue machifu wengine wenye akili timamu wa maeneo mengine ya Tanzania,hao sio machifu ni hasara kabisa.Dunia inaenda kasi sana Hv kweli viongozi wa wanyakyusa ndio wamefika hapo kweli chawa wamehamia kwa machifu.