Pre GE2025 Machifu Mbeya wapinga Maandamano ya CHADEMA

Pre GE2025 Machifu Mbeya wapinga Maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
By any means necessary Machifu Mbeya hawataki maandamano ya Chadema👇View attachment 2907905
Hv tunawasingizia au ni kweli?kama ni kweli wanapinga basi hao ni machifu feki kabisa na wasichafue machifu wengine wenye akili timamu wa maeneo mengine ya Tanzania,hao sio machifu ni hasara kabisa.Dunia inaenda kasi sana Hv kweli viongozi wa wanyakyusa ndio wamefika hapo kweli chawa wamehamia kwa machifu.
 
Mbona wanaonekana kama wanasubiri kupelekwa Milembe Hospital.
 
I don't like CDM but this is foolish from these self-proclaimed chiefs. As a matter of fact, fu*k them.
 
Hongera machifu kwa kutsmbua ujinga wa maandamano yasiyo na tija.
Watu wanatska kitu maendeleo,siyo fujo.
 
Back
Top Bottom