Chief without money is chiefless.Nimeona mgombea uraisi mmoja amewekeza Sana kwenye uchifu jambo ambalo mwalimu alitahadharisha
Ukivaa kama mganga unakuwa chifu.[emoji57][emoji57][emoji55][emoji55][emoji55][emoji55][emoji55][emoji55][emoji2955][emoji58][emoji10]
Ana Switch External LanguageUkivaa kama mganga unakuwa chifu.
Anyway hotuba za mgombea mmoja zinaanza na salute za kabila. Anaamini Sana kwenye tamaduni.
Utasikia wagogo...... Wanyakyusa...... Wandali.......... Ila akifika usukumani hataji kabila ila anaswitch
Hakuna chama kinacho nyanyasa wanachama wake kama Chadema. Chama kimekuwa cha mtu mmoja na genge lake, tu hao ndo wenye kauli za mwisho. Mwenyekiti mpaka anavunja mguu, kisa vitu maalum.Hawa machifu ni matapeli tu wa kisiasa.Nani asikilize ushauri wa kijinga wa kuchagua watu wanaotunyanyasa muda wote kupata haki zetu