Machimbo ya Tshirt, suruali na Shirts Classic za kuvalia Tie

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Naombeni msaada wadau nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini, ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousers na 7 Cadets.

Huku insta naona bei zimechangamka sana, shirt tsh 35,000 mpaka 45,000 moja na tshirts hivyo. Kama kuna machimbo Kariakoo tupeane location please.
 
Naombeni msaada wadau.nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini.ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousels na 7 Cadets.

Huku insta naona bei zimechangamka sana.shirt tsh 35,000 mpaka 45,000 moja na tshirts hivyo. Kama kuna machimbo Kariakoo tupeane location please.
Njoo kariakoo muda huu utanikuta Nikupeleke kona hizo mm mwenyewe
 
Naombeni msaada wadau.nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini.ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousels na 7 Cadets.

Huku insta naona bei zimechangamka sana.shirt tsh 35,000 mpaka 45,000 moja na tshirts hivyo. Kama kuna machimbo Kariakoo tupeane location please.
T-shirts za kuvalia tai ndo zikoje hizo? 😳
 
Naombeni msaada wadau.nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini.ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousels na 7 Cadets.

Huku insta naona bei zimechangamka sana.shirt tsh 35,000 mpaka 45,000 moja na tshirts hivyo. Kama kuna machimbo Kariakoo tupeane location please.
NAKAZIA
 
Ajira mpya nn?

Ushauri:

Usinunue nguo nyingi kwa pamoja, 70% utakosea zitakua fwamba. Just nunua shati 2 au moja, suruali mbili au moja.

Unaweza ukaanza na hizi special mfano ukaenda Sokoni Jeans Mawasiliano ukapata suruali 15k shati 15k etc.

Kununua nguo ni ongoing process sio siku moja umalize kila kitu.
 
Naombeni msaada wadau nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini, ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousers na 7 Cadets.

Huku insta naona bei zimechangamka sana, shirt tsh 35,000 mpaka 45,000 moja na tshirts hivyo. Kama kuna machimbo Kariakoo tupeane location please.
Kwa mtu smart, cadets sio nguo ya kuvaa kiofisi. Tafta vitambaa vyako slim fit suruali 5 ama 6, black, blue, dark blue, grey, navy na rangi nyingine nzuri utakayopenda na shirts zako kali unaonekana classic daily.
 
Back
Top Bottom