MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hizi ndiyo zenyewe nilikuwa navaa wiki mpaka mwezi unakata wakaanza kuniita kwa cheo changu Ila wanaongezea mabuti ,sikujali nilikuja kuanza kubadili viatu siku niliposema ngoja nivue viatu kidogo nipimue nikiwa ofisini ,ofisi ikabadilika harufu ,staff mate wakakaa vikao upenuni kunisema nikaona Sasa basiWekeza kwenye kiatu. Tafuta Clark boots moja kali sana hapo Mwenge. Unavaa j3 hadi j2.