Machimbo ya Tshirt, suruali na Shirts Classic za kuvalia Tie

Machimbo ya Tshirt, suruali na Shirts Classic za kuvalia Tie

Mwalimu kituo kigoma , usije kununua shati jeupe litakuwa brown ndani ya miezi minne.
 
Ajira mpya nn?

Ushauri:

Usinunue nguo nyingi kwa pamoja, 70% utakosea zitakua fwamba. Just nunua shati 2 au moja, suruali mbili au moja.

Unaweza ukaanza na hizi special mfano ukaenda Sokoni Jeans Mawasiliano ukapata suruali 15k shati 15k etc.

Kununua nguo ni ongoing process sio siku moja umalize kila kitu.
Huwa nanunua sijawah pata shida
 
Nilianza utaratibu wa kila week na buy nguo moja eg trouser au shirt or tshirt . nika jikuta kabati limejaa saivi nme weka likizo
 
Ajira mpya nn?

Ushauri:

Usinunue nguo nyingi kwa pamoja, 70% utakosea zitakua fwamba. Just nunua shati 2 au moja, suruali mbili au moja.

Unaweza ukaanza na hizi special mfano ukaenda Sokoni Jeans Mawasiliano ukapata suruali 15k shati 15k etc.

Kununua nguo ni ongoing process sio siku moja umalize kila kitu.
Vema sana
 
A
Naombeni msaada wadau nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini, ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousers na 7 Cadets.

Huku insta naona bei zimechangamka sana, shirt tsh 35,000 mpaka 45,000 moja na tshirts hivyo. Kama kuna machimbo Kariakoo tupeane location please.
agiza tu china mkuu😀
 
Back
Top Bottom