Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Njoo kariakoo muda huu utanikuta Nikupeleke kona hizo mm mwenyeweNaombeni msaada wadau.nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini.ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousels na 7 Cadets.
Huku insta naona bei zimechangamka sana.shirt tsh 35,000 mpaka 45,000 moja na tshirts hivyo. Kama kuna machimbo Kariakoo tupeane location please.
T-shirts za kuvalia tai ndo zikoje hizo? 😳Naombeni msaada wadau.nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini.ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousels na 7 Cadets.
Huku insta naona bei zimechangamka sana.shirt tsh 35,000 mpaka 45,000 moja na tshirts hivyo. Kama kuna machimbo Kariakoo tupeane location please.
NAKAZIANaombeni msaada wadau.nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini.ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousels na 7 Cadets.
Huku insta naona bei zimechangamka sana.shirt tsh 35,000 mpaka 45,000 moja na tshirts hivyo. Kama kuna machimbo Kariakoo tupeane location please.
Nadhani alimaanisha Shirts za kuvalia TaiT-shirts za kuvalia tai ndo zikoje hizo?
Kikuu atalia, maana anaweza kuletewa nguo za mwanayeAgiza kikuu 😆
kunasehemu ameandika kapata kazi?Hongera kwa kupata kazi mkuu,
Jitahidi ukajikite zaidi kwenye uwajibikaji kuliko kuvaa T-shirt na Tai.
Vp Bei imechangamka au ni zile Bei zetu rafiki ,Mm niko kariakoo mda huu wazee, nguo kali unazipata mtaa wa Congo na Mchikichi.
Wekeza kwenye kiatu. Tafuta Clark boots moja kali sana hapo Mwenge. Unavaa j3 hadi j2.
Shati kali bei ni 16 mpaka 18 za India na uturuki. Tisheti bei ni 12 mpaka 16. Jinzi kali ni 22 tu nyingine mpaka 17Vp Bei imechangamka au ni zile Bei zetu rafiki ,
Kwa mtu smart, cadets sio nguo ya kuvaa kiofisi. Tafta vitambaa vyako slim fit suruali 5 ama 6, black, blue, dark blue, grey, navy na rangi nyingine nzuri utakayopenda na shirts zako kali unaonekana classic daily.Naombeni msaada wadau nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini, ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousers na 7 Cadets.
Huku insta naona bei zimechangamka sana, shirt tsh 35,000 mpaka 45,000 moja na tshirts hivyo. Kama kuna machimbo Kariakoo tupeane location please.
Clarks tatizo bei kali, ila anaweza pata Mtumba wa 50-60 ila mkataba hadi NCCR Mageuzi inashika nchi yenyewe ipo inadunda.Mkuu ungeweka na Bei apate muongozo
wahuni wasije ongeza sifuri mbili
Kwan ww JF huijui jmn😂kunasehemu ameandika kapata kazi?
Ha ha ha ha ha ha haT-shirts za kuvalia tai ndo zikoje hizo?