Machines za EFD ziunganishwe na systems za NIDA?? Nimewaza tu

Nimewaza tu kwamba mtu akinunua bidhaa (mfano: smartphone ya 300,000/=) Muuza duka amuulize na Nambari yake ya NIDA ili jina la mnunuzi litokee kwenye receipt ya EFD, "automatically"

Nimewaza tu kwa sauti wadau. Please msinipige mawe..
Kaa utulie umetoka kudhalilisha na kuita watoto wa shule ya bunge uchafu, halafu unakuja na ishu ya nida dukani ili watu wafe njaa? Nida imewafikia asilimia ngapi ya watz, mwenzako alishawahi kusema no cheti cha kuzaliwa no ndoa, Magufuli akaipiga chini amri ya kidwanzi
 
Nitakuolea dada yako ili uniite shemeji..
 
Kaa utulie umetoka kudhalilisha na kuita watoto wa shule ya bunge uchafu,
Shule ya Serikali kuiweka city center ni uchafu. Watumishi wa serikali hawajali kitu for so long as wanapokea mishahara mwisho wa mwezi..
 
Nimewaza tu kwamba mtu akinunua bidhaa (mfano: smartphone ya 300,000/=) Muuza duka amuulize na Nambari yake ya NIDA ili jina la mnunuzi litokee kwenye receipt ya EFD, "automatically"

Nimewaza tu kwa sauti wadau. Please msinipige mawe..
Uwezekano wa kuandika taarifa za mnunuzi au mlipaji upo na baadhi ya machine ufanya hivo..... Infact ni muhimu receipt ionyeshe majina ya mnunuzi, muuzaji na kinachouzwa (kilichonunuliwa) pamoja na kiasi Cha fedha, tarehe nk.
 
Nimewaza tu kwamba mtu akinunua bidhaa (mfano: smartphone ya 300,000/=) Muuza duka amuulize na Nambari yake ya NIDA ili jina la mnunuzi litokee kwenye receipt ya EFD, "automatically"

Nimewaza tu kwa sauti wadau. Please msinipige mawe..
Kwa kawaida, mtu mwenye TIN anaponunua bidhaa, anatakiwa ampe muuzaji TIN yake ili iandikwe kwenye risiti
 
Atakaye umia zaidi kwenye haya masuala ya kodi ni mlaji wa mwisho. Mfanyabiashara huwa hatoi risiti ili kumsaidia kupunguza gharama mlaji wa mwisho mwananchi wa kawaida.

Huwa nashangaa eti kuna tuzo ya mlipaji kodi bora , hii tuzo inipite mbali nisiipate.

Tuache taasisi za serikali kama NMB waendelee kupata hizi tuzo za ulipaji bora wa kodi.
 
📌📌📌Inasaidia vipi kupunguza ukali wa maisha kwa maskini walio wengi.
 
Back
Top Bottom