Machines za EFD ziunganishwe na systems za NIDA?? Nimewaza tu

Machines za EFD ziunganishwe na systems za NIDA?? Nimewaza tu

Uwezekano wa kuandika taarifa za mnunuzi au mlipaji upo na baadhi ya machine ufanya hivo..... Infact ni muhimu receipt ionyeshe majina ya mnunuzi, muuzaji na kinachouzwa (kilichonunuliwa) pamoja na kiasi Cha fedha, tarehe nk.
Nchi iko vuruvuru mambo shagalabagala yaani hamna utaratibu na wala watu hawajali,ni huzuni🤗
 
Risiti bila jina la mteja??..
Ndiyo.inatoka risiti inaonesha majina ya muuzaji,tin yake,location na bidhaa iliyouzwa pamoja na bei yake,mteja akitaka majina yake yawepo kwenye risiti kuna option nyingine kwa kutumia mashine hiyo hiyo,siyo kwamba hizo mashine hazina mahali pa kuandika taarifa za mteja,zinakuwa nazo.
 
Nimewaza tu kwamba mtu akinunua bidhaa (mfano: smartphone ya 300,000/=) Muuza duka amuulize na Nambari yake ya NIDA ili jina la mnunuzi litokee kwenye receipt ya EFD, "automatically"

Nimewaza tu kwa sauti wadau. Please msinipige mawe..
Mawe lazma upigwe sababu hamna namna ingine. Miaka 60 ya umaskini uliokithiri na watu wanachukuaga kodi kwa mwaka mara nne. Bado uwaongezee njia za kutukamua zaidi.
 
Ndiyo.inatoka risiti inaonesha majina ya muuzaji,tin yake,location na bidhaa iliyouzwa pamoja na bei yake,mteja akitaka majina yake yawepo kwenye risiti kuna option nyingine kwa kutumia mashine hiyo hiyo,siyo kwamba hizo mashine hazina mahali pa kuandika taarifa za mteja,zinakuwa nazo.
Okay..
 
Hakuna uthibitisho,hata tukija kwako tukaamua kusema tv uliyonayo ni ya wizi sijui utasema nini
Mana receipt hazina nyingi hazina majina
Ndio maana mimi nikaona kuwa hili ni tatizo linalohitaji solution sahihi kwa sasa..
 
Mawe lazma upigwe sababu hamna namna ingine. Miaka 60 ya umaskini uliokithiri na watu wanachukuaga kodi kwa mwaka mara nne. Bado uwaongezee njia za kutukamua zaidi.
Mkuu, receipt haina jina la mteja?? Wewe unaonaje??..
 
Nikuulize ushawah nunua bidhaa ? Kama huna Tin no ana skip ana jaza taarifa zingne

Kama unayo akiingiza Tin no inasoma mpk kwa Tiharaei wenyewe

Hapo ni Tin no ndo muhimu maake siku hz hufunguwi Tin no kama huna NIDA kwahiyo tuliza akili ujue vitu!
 
Juzi nilinunua TV ila sikuulizwa kuhusu TIN wala NIDA..
 
Nimewaza tu kwamba mtu akinunua bidhaa (mfano: smartphone ya 300,000/=) Muuza duka amuulize na Nambari yake ya NIDA ili jina la mnunuzi litokee kwenye receipt ya EFD, "automatically"

Nimewaza tu kwa sauti wadau. Please msinipige mawe..in
Una hoja
 
Kaa utulie umetoka kudhalilisha na kuita watoto wa shule ya bunge uchafu, halafu unakuja na ishu ya nida dukani ili watu wafe njaa? Nida imewafikia asilimia ngapi ya watz, mwenzako alishawahi kusema no cheti cha kuzaliwa no ndoa, Magufuli akaipiga chini amri ya kidwanzi
We inaonekana ni mkwepa kodi
 
Shule ya serikali ni uchafu? Aisee mmefika mbali, we unaumwa siyo bure nimeshindwa ht Cha kuandika
Shule yoyote chafu (government or private) huo ni uchafu. Kwani serikali ni nini?? Wewe unataka mijitu ya kusifia tu na kuabudu hata mambo ya kipuuzi??..
 
Back
Top Bottom